Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Somaliland imeapa kuisaidia Kenya iwapo Vita Vitazuka baina ya Somalia na Kenya

Mbona sasa hv hawaisaidii hyo kenya kupambana na shababy

Somaliland haisaidii Somalia kwa sababu Somalia imelea, imekuza na kuwafadhili maharamia kama sea pirates, AI shabaab, AlQaida, ISIS and ISIS sympathizers! Somalia wote ni Wa Islamu, wote ni dhehebu moja “SUNNI” ila cha ajabu wanapigana ukoo kwa ukoo, watoto wa shangazi na watoto wa mjomba, yaani kila kitu ni shagrabagra!sababu - hawataki kumuona Myahudi au Mkristu and remember where ever there is no Christianity definitely hakuna AMANI! Somaliland hawana matatizo hayo wala Puntland!
 
Idk how much truth there is in that statement but if it is indeed true, then Kenya's security treaty with Ethiopia is proving to be a masterstroke.

Ethiopia has MAJOR influence on Somaliland and even though kenya refuses to recognize Somaliland, Kenya Ethiopia and Somaliland stand to benefit greatly if there's a more "cooperating" regime in moqdishu
 
Hakuna usaidizi mnaeza tupea,kusema ukweli,n btw we dont need you,kenya got so many allies that can help it incase need arise,pole bro
Mbona hao Marafiki zenu hawakuja kusaidia kuwapatanisha mlipochinjana mwaka 2007, ni Kikwete ndiye aliyekija na idea ya prime minister akapatikana Raila na serikali ya nusu mkate?.

Mbona kila mkifikia kipindi cha uchaguzi wa Kenya, maelfu ya wakenya huvuka mipaka na kuingia Tanzania kuja kujificha kusubiri kuona hali itakavyokwenda hamkibilii kwa hao Allies wenu?

Mbona migomo ya madaktari ikitokea, rais wenu alimtuma CS wa afya kuja Tanzania kuomba msaada wa madaktari, hamkuenda kuwaomba hao allies wenu?.

50% ya chakula na matunda hutoka Tanzania, kwanini msiende kununua chakula toka kwa hao allies wenu?. Kenyans investors are flocking to Tanzania daily, why not to your allies?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha this case is diffrent usisahau somali is a muslim nation,n muslim wanachukiwa US na Uk hata ni karibu kila mahali to be specific muslim wasomali,so hakuna siku hata moja US itawai shikana na Somali,kwanza huko US wanachukiwa sana na si huko pekee pia huku hatuwapendi hata kidogo juu wametuletea shida mingi sana,usisahau kenya is a christian nation na pia chini ya maji si huwa na support ya Israel ka ujui so ni hard na hata waharabu wanabebanga tu wasomali ujinga juu ya dini yao hufanya wa arabu wakae miungu na somali ka kuna nchi wanaabudu ni U.A.E lakini wanabebwa ujinga
Kwaiyo inamaana hata jeshi lenu hamliamini mpaka muwategemee USA na UK? Sasa inamaana wanakula Tu mishahara ya bure,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha this case is diffrent usisahau somali is a muslim nation,n muslim wanachukiwa US na Uk hata ni karibu kila mahali to be specific muslim wasomali,so hakuna siku hata moja US itawai shikana na Somali,kwanza huko US wanachukiwa sana na si huko pekee pia huku hatuwapendi hata kidogo juu wametuletea shida mingi sana,usisahau kenya is a christian nation na pia chini ya maji si huwa na support ya Israel ka ujui so ni hard na hata waharabu wanabebanga tu wasomali ujinga juu ya dini yao hufanya wa arabu wakae miungu na somali ka kuna nchi wanaabudu ni U.A.E lakini wanabebwa ujinga
Kwaiyo bila US mjiandae kuwa fucked? Wenzenu huku tunayaamini majeshi yetu kiasa tunaamini hata itokee vita yoyote tutapigana hata bila msaada ya yoyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo yako mwanzo Mazur ila hapo mwisho ndio Umevuruga
Unatuingizaje sisi na upuuzi wao
Tusikubari lipi we jamaa Hatutaki Hayo mambo yalituletea Taabu miaka nenda rudi
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe

Kweli kabisa, Kwa kifupi mambo yasihotuhusu yapite mbali huko, safari hii tunajenga nchi na kama watatwangana sisi tutawauzia chakula maana njaa pia itawatandika, Tutashiriki kwa kupiga hela.
 
Hahahaha...Vitu vingine tu ni vya kijinga Sana....So what is the essence of such a post if it ain't utter stupidity
 
Wengi wabakurupuka tu bila kuelewa mchezo. Somaliland ni buffer zone ya Ethiopia ilhali Jubaland ni buffer zone ya Kenya therefore Isolating Somalia wararuane hadi wachoke.
Watu kama joto la jiwe anapiga domo but before huu uzi alifikiri Somalia ni moja na sasa ni mjuaji mkuu.
 
Hahaha this case is diffrent usisahau somali is a muslim nation,n muslim wanachukiwa US na Uk hata ni karibu kila mahali to be specific muslim wasomali,so hakuna siku hata moja US itawai shikana na Somali,kwanza huko US wanachukiwa sana na si huko pekee pia huku hatuwapendi hata kidogo juu wametuletea shida mingi sana,usisahau kenya is a christian nation na pia chini ya maji si huwa na support ya Israel ka ujui so ni hard na hata waharabu wanabebanga tu wasomali ujinga juu ya dini yao hufanya wa arabu wakae miungu na somali ka kuna nchi wanaabudu ni U.A.E lakini wanabebwa ujinga

Nikutekebishe kidogo mkuu, Kenya sio nchi ya Kikristo,
Pili, US don’t give a https://jamii.app/JFUserGuide on whether christianity or Islam, Only Interests bro, Do you know that Saudi is Islamic Nation and a very close US allie?
And do you think US got no Interest in your Fight Against Al Shabaab? Open your eyes bro,
 
Kiintelijensia Somaliland inashirikiana na kenya vita ya Alshababu ni tofauti kabisa na kinachoandaliwa hivi sasa ambayo itakuwa ni majeshi kwa majeshi
Kama Jeshi ya Somalia limeshindwa Al shabab litaweza vita na Nchi nyingine? Acheni story jamani.
 
Mipaka ya somaliland NI ile iliowekwa na wakoloni na kubarikiwa OAU. Kaskazini inapaka na Djibouti magharibi Ethiopia na kusini na masshariki Somalia

Somaliland inatofautiana na Haina mahusiano yoyote ya kisiasa wa kiuchumi na Somalia.

De facto somaliland. Imefanya mengi makubwa kuijengaa nchi yao from zero kwani serikali ya Somalia ili tupia mabomu karibu nchi nzima
Walifanya hivyoo wapo mfano general Morgan yupo Kenya kanali Abdul Tukeyna wengine

Uhasama uliopo somaliland na Somalia NI mkubwa sana .Hii ni kwanii??

Ili somaliland itambuliwe kimataifa itahitajika kura ya maoni na utashi wa pande mbili lakini kwa Somalia hawataki kusikia Jambo Hilo

Hivyoo SOMALILAND imeeapa itakaa hivyoo Kama defacto wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maelezo yako yako vzr sana,umenifungua mengi khs Somaliland na Somali

MTC | 101| [emoji769]
 
Kwaiyo unadhani Israel anaweza kupoteza nguvu yake ili kusaidia Kenya?

Hivi unajua Israel ni mtoto wa usa lkn huwa anamfanyia usa vitimbi kama kumdukua?

Vip kama Somalia wakisaidiwa na Iran
Hahaha this case is diffrent usisahau somali is a muslim nation,n muslim wanachukiwa US na Uk hata ni karibu kila mahali to be specific muslim wasomali,so hakuna siku hata moja US itawai shikana na Somali,kwanza huko US wanachukiwa sana na si huko pekee pia huku hatuwapendi hata kidogo juu wametuletea shida mingi sana,usisahau kenya is a christian nation na pia chini ya maji si huwa na support ya Israel ka ujui so ni hard na hata waharabu wanabebanga tu wasomali ujinga juu ya dini yao hufanya wa arabu wakae miungu na somali ka kuna nchi wanaabudu ni U.A.E lakini wanabebwa ujinga

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hapa ndipo wakenya wanapokosea kuamini kuwa USA na UK watawasaidia hawajui kuwa USA wana sera ya hawana rafiki wala adui wa kudumu wanachoangalia ni maslahi yao tu na umemtolea mfano hai kabisa kuhusu saudia Arabia
Nikutekebishe kidogo mkuu, Kenya sio nchi ya Kikristo,
Pili, US don’t give a **** on whether christianity or Islam, Only Interests bro, Do you know that Saudi is Islamic Nation and a very close US allie?
And do you think US got no Interest in your Fight Against Al Shabaab? Open your eyes bro,

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Back
Top Bottom