Some Celebrities that I ever Crushed to 'em

Djimon Hounsou(huyu jamaa huwa nawaza mikono yake ikinikamata) na Morgan Freeman.
 
Eti most atractive man[emoji9][emoji41]..
mwanaume unamwita mwenzako attractive hizo ni dalili za nini?
[emoji16] mboga saba mna shida sana..afu ukute wa Arusha
We una shida zako binafsi. Kwamba mwanaume hana macho na hawezi kujua kwamba mwanaume mwenzio ni attractive?
Na nikweli Chris Evans yupo vizuri sana.
 
I have a lot of celebrity crushes na huwa wanabadilika kutokana na muda. A few of them,
Andrew Garfield
Lee Jong Suk
Elvis Presley (circa 1950s-60s)
Chris Evans
Lee Joon Gi
Park Seo Joon
Trey Songz
Michael J. White
Leonardo Dicaprio
Johnny Depp etc
 
Meehn. If you woke me up in middle of a sleep, and ask me this question I am going to shout, "Angela Griffin."
 
Eti most atractive man[emoji9][emoji41]..

mwanaume unamwita mwenzako attractive hizo ni dalili za nini?

[emoji16] mboga saba mna shida sana..afu ukute wa Arusha
Huyu ni mwanaume wa jiji la bashite chuga hatuna watu kama hawa.
 
We una shida zako binafsi. Kwamba mwanaume hana macho na hawezi kujua kwamba mwanaume mwenzio ni attractive?
Na nikweli Chris Evans yupo vizuri sana.
acha ushabiki wa kitu usicho kijua... Yani mwanaume uanze kumsifia mwenzako kwa uzuri wa muonekano.... Tena unasema eti huyu ndio mwanaume anaevutia kuliko wote duniani..... Khaaa...
 
Huyu dada nampnda sana!!na mwingine Khalees wa kwnye Game of thrones,pia kuna Cara yule Mulphiss wa kwenye legends of the seeker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…