Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Kuna muda unacheki muvi ni mbaya ila unabidi uicheki mwanzo mwisho kwa ajili tu umemuona mdada fulani humo.. To me I like Badass girl.. Wale wababe, Wana matendo ya kibabe applied in reality.
Kwnye list yangu naanza na haka kabinti Zendaya. Kama hujawahi kukaona basi kapo kwenye Spiderman Homecoming na Far from home.. kazuri ila kana kasoro moja.. (Sitaitaja) kama umeiona ruhusa kuitaja..
Pia kama kuna mceleb unaye mzimia mtupie picha zake