Some Celebrities that I ever Crushed to 'em

Some Celebrities that I ever Crushed to 'em

1. Michael Ealy
Yale macho yake na anavyoongea akiigiza naonaga mpaka wivu kwa wadada anaogiza nao

2.Idriss Elba

3. Tayye

Hao crushes wangu all day every day
20190919_232344.jpeg
20190919_232325.jpeg
20190919_232305.jpeg
 
Yupo celebrity mmoja huko duniani ndio ameingia kwenye soko la movie mzuri mpaka sio vizuri. Anafanya reality show ni ex wa Bow Wow anaitwa Erica Mena. Mzuri mpaka nawazaga wanaume wanaodate nae huwa wanajisikiaje.
Sasa hivi anadate na Safaree ex wa Nick MinajView attachment 1211793View attachment 1211794
20190919_233718.jpeg
 
Hatari sana ..ata mimi nilkua nataka ni comment vizuri ..ila baada ya kusoma apo nime kereka sana..
Eti most atractive man[emoji9][emoji41]..

mwanaume unamwita mwenzako attractive hizo ni dalili za nini?

[emoji16] mboga saba mna shida sana..afu ukute wa Arusha
 
Kuna muda unacheki muvi ni mbaya ila unabidi uicheki mwanzo mwisho kwa ajili tu umemuona mdada fulani humo.. To me I like Badass girl.. Wale wababe, Wana matendo ya kibabe applied in reality.
Kwnye list yangu naanza na haka kabinti Zendaya. Kama hujawahi kukaona basi kapo kwenye Spiderman Homecoming na Far from home.. kazuri ila kana kasoro moja.. (Sitaitaja) kama umeiona ruhusa kuitaja..
Pia kama kuna mceleb unaye mzimia mtupie picha zake
View attachment 1208643View attachment 1208644View attachment 1208645View attachment 1208646View attachment 1208649

 
Crush no 3. Scarlet Johnson reasons anasauti fulani hivi ya kukwaruza afu ana sura fulani very serious napenda tu kumuona..Lucy nairudia mara nyingi kwa sjili yake..

Ila Kama most attractive Man in the world Chris Evans hajawahi date nae mie ni nani hasa??? Don't fool yourself sio kila maombi hujibiwa.. kama ndito unazoota juu ya Celebs wa Hollywood View attachment 1208656View attachment 1208658View attachment 1208659
Huyu scarlet Johnson ana jicho fulani la mahaba ya kibishi, ana lipsi kali za kunyonyea ub00, kako flexible hivi, kanaonekana katamu, sikapati picha kapige goti kawe kanakula koni huku anakutizama usoni kwa macho yake hayo.
 
Huyu scarlet Johnson ana jicho fulani la mahaba ya kibishi, ana lipsi kali za kunyonyea ub00, kako flexible hivi, kanaonekana katamu, sikapati picha kapige goti kawe kanakula koni huku anakutizama usoni kwa macho yake hayo.
hahaaaa mwalimu kashasha umeanza yako aseee..
Nampendaga sana hyu simpatii picha mwanaume wake anavyo faidi
 
Back
Top Bottom