Some childhood memories

Kuchezea mate ilikuwa ni tabia mbaya iliyokemewa mno na wazazi
Jr[emoji769]
 
Nilikua napenda kucheza mziki wa bolingo,ikipigwa mziki wa Bongoman weeeeeeeeeee sio kwa mauno hayo.. [emoji1787] [emoji1787]
Tulikua tunachukua nywele mtu akinyolewa halafu tunachukua utimvu wa Minyaa/Minyara tunabandika kidevuni eti ni ndevu..Zingine tunabandika huku chini eti tumeota[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Tukikosa nywele tunaweka nywele za mahindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya dar mpaka Moro sijui ila ya ulimi ni matusi hasa kwa zile nyuchi zenye maji.. Hiyo action hutokea wakati wa kufanya matusi
Nyie wazazi mnazingua bana sometimes kuna mtu alikua anatuchapa tukiimba "wapii Dar mpaka Moro"
Eti nimatusi kumbee..
Au ukifanya ulimi ukalia fyokofyokofyoko mdomoni wanatuchapa..


Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Yaani umenichekesha mkuu..kuna mtu tumekua nae ndio ilikua kazi yake kuramba kamasi. Leo bishoo na mke wake

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Ningeweza kuelezea kinagaubaga jinsi nilivyokuwa mtaalam wa hiyo kitu sema watu watachefukwa. Utoto una nyakati za aina yake.
Ila hali leo damu ikinitoka nalamba japo simezi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…