Some childhood memories

Some childhood memories

Kwa wale tuliokua na mbuzi nyumbani, siku ukienda kuwachunga mnazichanganya na za majirani halafu mnaziachia zinaenda kwenye mazao ya watu huku nyie mnacheza mpira

Sasa muda ukipita mnakaa mnapiga Kura nani aende kuzitafuta zilikoenda maana kama ziko kwenye mazao ya watu halafu mwenye shamba akiwepo wewe uliezifata kipondo utakachochezea utasimulia

Hapo kwenye kupiga Kura tulikua tunachukua yake matawi ya mihogo, kule kunakokutana Kati ya Tawi na mti wa mihogo kuna kifundo, hapo mmoja anavikata kata then anavificha kwenye kiganja cha mkono Yule atakaechagua kijiti chenye kifundo ndio atazifata mbuzi zilikoenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdada wa jirani huyu ndio alikua mkubwa kwetu kama miaka 2. Huyu mdada alikua anachupi yake nyekundu mbele ina ua.
Alikua ashazoe tunakaa maeneo anavua chupi yake hiyo nyekundu namsaidia kutoa chawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tukimaliza kuokota anavaa. Siku moja aliitupa hiyo chupi tukaona katoto kameivaa kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama dada bado anavua hovyo chupi yake mpaka sasa, atakuwa anaipata fresh!
Akili za utoto zinastaajabisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787] mie huo wa kimama kuna li jamaa lenyewe lilikuwa linapenda mi niwe mama na mimi akili yangu ilikuwa kubwa nkajua anataka nini huyu, basi tukilala sichukui muda nawika [emoji23][emoji23] akawa anamaindi anasema wanawake hawawiki...Fadhili huyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom