Some people never learn

Some people never learn

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
This one is on you, CHADEMA. How can your party chairman caught lacking like that?

What happened to Mbowe is inexcusable. I’m not in the inner circle of the party but still I thought that a chairman of a major opposition political party should have around-the-clock security.

How could he move around without security? That he was assailed by some unknown persons at his residence in the middle of the night, doesn’t make sense to me.

CHADEMA, y’all got some ‘splainin to do because the whole thing doesn’t make sense. It’s as if you don’t take your security seriously.

No wonder why you keep taking Ls! Too nonchalant about everything.

I guess y’all live but never learn!
 
Lissu, Ben Saanane,...
Then Mbowe caught empty with no guards!
Where is a blue guard?
 
Security ndio inazuia mtu kushambuliwa? John F Kennedy alikufaje tena akiwa rais, Karume Je?

Yaani kila mtanzania awe na mlinzi police wafanye kazi gani? Mo, Roma, Ney, Ben Saanane, Azory na wengine wawe na walinzi?

Tuna tatizo la magenge ya wahuni ndani ya serikali na police wanaopanga mbinu za kuumiza wapinzani.

Wewe endelea kubeba box tu uelewi kinachoendelea Tanzania!
 
Security ndio inazuia mtu kushambuliwa? John F Kennedy alikufaje tena akiwa rais, Karume Je? wewe endelea kubeba box tu uelewi kinachoendelea tanzania!
Wale blue band sijui blue guard hawapo siku hizi
 
Security ndio inazuia mtu kushambuliwa? John F Kennedy alikufaje tena akiwa rais, Karume Je? wewe endelea kubeba box tu uelewi kinachoendelea tanzania!
Oh yeah.

It can be a deterrence, too.

Hebu kajaribu kumshambulia Magufuli uone...
 
Ni wapuuzi tu mkuu,
Chadema hata uwawekee wawe wanajifunza kwa picha hawawezi kuelewa kamwe,!
 
Security ndio inazuia mtu kushambuliwa? John F Kennedy alikufaje tena akiwa rais, Karume Je?

Yaani kila mtanzania awe na mlinzi police wafanye kazi gani? Mo, Roma, Ney, Ben Saanane, Azory na wengine wawe na walinzi?

Tuna tatizo la magenge ya wahuni ndani ya serikali na police wanaopanga mbinu za kuumiza wapinzani.

Wewe endelea kubeba box tu uelewi kinachoendelea Tanzania!

Unataka kusema angekuwa na walinzi isingesaidia chochote kile??
 
Hahaha...ujumbe huu pia uwafikie Lissu na wale wabeba box wenu mashuhuri.
 
Unataka kusema angekuwa na walinzi isingesaidia chochote kile??
Tunahitaji kwanza general security ya watanzania wote then ndio tuje kwenye personal security. polisi wawalinde watu wote kwanza bila ubaguzi wa kisiasa.
 
Hakuna kitu kama hicho kwamba DJ Freeman kashambuliwa. Hii ni muvi tu imetengenezwa kuchafua uongozi wa JPM. Inasemeka kwamba Freeman alilewa pombe akaanguka kwenye kazi mguu ukavunjika. Katika kuficha aibu ndiyo wameamua kusema kwamba alishambuliwa na watu.
 
Back
Top Bottom