Mambo ya siku izi unaweza kuta jamaa keshaonja hapo
Kuonja muhimu atajuaje kama chumvi inatosha?
safiiiiiiiiiiii.......tunataka mnyika nae aoeeeeeeeee
Halima alikuwa mchepuko tuu.wap Halima mdee??
Huyo binti ni mchumba
wake wa siku nyingiiiiii.....namfahamu coz alisimamia harusi ya bro
wangu pale arusha
ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...
safiiiiiiiiiiii.......tunataka mnyika nae aoeeeeeeeee
ID yako inatisha mkuu.
ID yako inatisha mkuu.
hahahahahahaaaaa...
nadhani anamaanisha alikuwa miongoni mwa ma maids
ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...