Miss Kim
Senior Member
- May 3, 2014
- 164
- 273
Baadhi ya picha za maharusi watarajiwa Mr. & Mrs. Joshua NasariView attachment 163020View attachment 163022View attachment 163021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya siku izi unaweza kuta jamaa keshaonja hapo
Kuonja muhimu atajuaje kama chumvi inatosha?
safiiiiiiiiiiii.......tunataka mnyika nae aoeeeeeeeee
Halima alikuwa mchepuko tuu.wap Halima mdee??
Huyo binti ni mchumba
wake wa siku nyingiiiiii.....namfahamu coz alisimamia harusi ya bro
wangu pale arusha
ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...
safiiiiiiiiiiii.......tunataka mnyika nae aoeeeeeeeee
ID yako inatisha mkuu.
ID yako inatisha mkuu.
hahahahahahaaaaa...
nadhani anamaanisha alikuwa miongoni mwa ma maids
ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...