Some Pictures of the Groom & Bride To Be, Mr & Mrs Joshua Nasari

ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...

na usilopoke kama huna unalolijuwa kuhusu mates, mimi nimekuwa best man kwenye harusi ya rafiki yangu na sikuwa na mke wala ndoa.

acha kuishi kwa kukalili ukadhani kila shoe shine ni kiwi na dawa ya meno ni Colgate tu.
 
Achana nae huyo......nimegundua haelewi anachokisema!!!mkurupukaji
 
na usilopoke kama huna unalolijuwa kuhusu mates, mimi nimekuwa best man kwenye harusi ya rafiki yangu na sikuwa na mke wala ndoa.

acha kuishi kwa kukalili ukadhani kila shoe shine ni kiwi na dawa ya meno ni Colgate tu.

sa hivi una mke????
 
Safi sana kachukua bint wa kawaida tu maana wengine akishakua Mbunge au maarufu ana deal na kina Aunr Ezekiel sijui nani huko,,,chukua yule wa shida na raha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…