Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
nimependa colour
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na km haitoshi? Huo ni uzinzi
Acha kukurupuka......!!!Naona hapo chini ushajibiwa.
nimependa colour
Always..Black is beauty...
ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...
Ww mulugo kweli...mi nawe nani anakurupuka??
na usilopoke kama huna unalolijuwa kuhusu mates, mimi nimekuwa best man kwenye harusi ya rafiki yangu na sikuwa na mke wala ndoa.
acha kuishi kwa kukalili ukadhani kila shoe shine ni kiwi na dawa ya meno ni Colgate tu.
Mambo ya siku izi unaweza kuta jamaa keshaonja hapo
Gegedo jema
safiiiiiiiiiiii.......tunataka mnyika nae aoeeeeeeeee
Mambo ya siku izi unaweza kuta jamaa keshaonja hapo
nimependa colour
we utaolewa lini?
na usilopoke kama huna unalolijuwa kuhusu mates, mimi nimekuwa best man kwenye harusi ya rafiki yangu na sikuwa na mke wala ndoa.
acha kuishi kwa kukalili ukadhani kila shoe shine ni kiwi na dawa ya meno ni Colgate tu.
sa hivi una mke????