ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: watu kwa fix humu na kujifanya wanawajua watu hawajambo!!
Muuza vocha...ulipotea!
ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...
Ulimbukeni mbaya sana......hivi hawa watu wanaishi kisiwani???halafu mnawachukulia watu juu kuliko walivyo na maisha yao waliyotoka.
Kila mtu ana historia ya maisha......hivi mtu anayetoka tandale akikwambia diamond alikuwa anakuja kununua maandazi kwake kwa akili za wengine mtasema anajifanya anamjua.
Badilikeni.....
Nilikuwa na baba yako mzazi tunakula maisha gesti