Some Pictures of the Groom & Bride To Be, Mr & Mrs Joshua Nasari

ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...

:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky: watu kwa fix humu na kujifanya wanawajua watu hawajambo!!
 
Ulimbukeni mbaya sana......hivi hawa watu wanaishi kisiwani???halafu mnawachukulia watu juu kuliko walivyo na maisha yao waliyotoka.
Kila mtu ana historia ya maisha......hivi mtu anayetoka tandale akikwambia diamond alikuwa anakuja kununua maandazi kwake kwa akili za wengine mtasema anajifanya anamjua.
Badilikeni.....
 
ukiwa muongo usiwe msahaulifu...hata siku moja mtu hawezi kusimamia ndoa kama yeye hana ndoa...

You are wrong. Nilisimamia ndoa ya rafiki yangu 2004 when I had just graduated from university. Nilikuwa sijaoa. Na nilulizwa nikasema sijaoa. Tena of all churches ndoa ilifungwa kanisa Katoliki.
 
Ulimbukeni mbaya sana......hivi hawa watu wanaishi kisiwani???halafu mnawachukulia watu juu kuliko walivyo na maisha yao waliyotoka.
Kila mtu ana historia ya maisha......hivi mtu anayetoka tandale akikwambia diamond alikuwa anakuja kununua maandazi kwake kwa akili za wengine mtasema anajifanya anamjua.
Badilikeni.....

Duh watu mnaua!!!
 
Back
Top Bottom