Some Pictures of the Groom & Bride To Be, Mr & Mrs Joshua Nasari

Some Pictures of the Groom & Bride To Be, Mr & Mrs Joshua Nasari

Mwe! kwani waniona nimeshazeekaga! wazee kina bwana machache unawaona mwenyewe wanavyokula sahani moja na walimbwende. count me in tena uzuri wapenda watanashaji kama mie weye.

si unaona hata kina komba... uzee mwisho chalinze
come we watch isidingo this weekend lol
 
si unaona hata kina komba... uzee mwisho chalinze
come we watch isidingo this weekend lol

sasa ndio nimemuelewa kwenye mkasi wa salma aliposema hataki kufa, ni kweli totoz kama ile kwa kweli lazima uimbe nayo nyimbo za kusifu zaburi pamoja na tenzi za rohoni.

by the way kesho nina ugeni wanajumuiya wanakuja kusali kwangu then after kuna kikao nachair afternoon.

mambo ya isidingo ni sunday.
 
Now I know!! Succesfuly politician mara zote huwa hawaoi wanawake warembo!!

Mind u, a woman without curve body is like a jeans without pocket, u jst don't know where to put ur hands on!!!

The bones are for dogs, meats are for men. Wake up Nassari!

I will be back in a while!!
 
Anapiga cha arusha saa hizi..

nimekuelewa tofauti ama??

Now I know!! Succesfuly politician mara zote huwa hawaoi wanawake warembo!!

Mind u, a woman without curve body is like a jeans without pocket, u jst don't know where to put ur hands on!!!

The bones are for dogs, meats are for men. Wake up Nassari!

I will be back in a while!!
 
Jamani huyu max(nasari mnamuita )ni ex wangu lol .tulibaki friends though hakuacha kutaka tuget back but nilishakuwa nime move on na Mu Jew and uwa sina tabia ya kuruka ruka anyway.. nikawa namuunganisha Kwa friends zangu basi wazuriii mhh cha kushangaza hakutulia nao wotee mwenyewe kadata hapo!..huez jua bwana kawazidi nini nakutakia maisha mema my ex hope you will be that husband she dreams ,Yale mambo yako yalee uache sasaa!!
 
Waaaapi babu Slaa na mchumba wake wa kudumu bi Mushumbushi?!. Fuateni nyayo za kijana, acheni uzinzi
 
Nasari mjanja sana,huyo binti kwao wa kishua sana,pesa mingi,mi namfahamu,ametafuta dodo incase kwenye siasa kukinuka,hawezi lala njaa.

Kama ndio hivo kacheza pere. Awe mzuri wa kumvutia kila mtu so wat.....la maana maisha yatasonga vizuri. Binti yuko na nafasi nzuri kikazi hela ya kula haiwez kuwa tatizo
 
Back
Top Bottom