Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mwalimu wa somo la hisabati aliandika ubaonu
*36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b = 0*
Akamwambia Shafii atatue tatizo.
Shafii alichukua dasta akufuta ubao akamwambia mwalimu tatizo limeisha.
[emoji38][emoji38][emoji38].....
Matatizo yetu mengine yanahitaji duster tu. Fuuutaaa [emoji112][emoji112].
Haina haja yakuumiza kichwa na matatizo ambayo hatuwezi kuyasolve. Ni kufuta tu.