pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kameme Tv ni stesheni ya lugha ya kikikuyu.Huyo aliyetweet wa 4 (Kameme TV@Zack Kinuthia) ndo ameongea ukweli kuliko wote. Nimemuelewa sana. Hao wengine wanaongea blah blah tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kameme Tv ni stesheni ya lugha ya kikikuyu.Huyo aliyetweet wa 4 (Kameme TV@Zack Kinuthia) ndo ameongea ukweli kuliko wote. Nimemuelewa sana. Hao wengine wanaongea blah blah tu
😀😀😀😀😀 Aisee shukran kwa kunipa tahadhari mapema.Kule ni maswala ya makalio nani anakalio kubwa kuliko mwenzane ,nani na nani wanachomekana dyu dyu ,nani shoga na nani msagaji !
Wakati mwingine ninamuhurumia magufuli maana anakazi sana ya kuwabadilisha watanzania wa namna hii
Haahaaaaahhhaaaa!😀😀😀😀😀 Aisee shukran kwa kunipa tahadhari mapema.
Kule kuna kufaa zaidi, wewe na mafisi wenzako wakina Mwasiti na Jay Lo😀😀😀😀😀 Aisee shukran kwa kunipa tahadhari mapema.
Sasa ona huyu! How many trees have you climbed so far? Its the rainy season you know. 🙂 Meza gillette!Kule kuna kufaa zaidi, wewe na mafisi wenzako wakina Mwasiti na Jay Lo
Non but i have climbed BRT ONLY The best in the World. [emoji28]Sasa ona huyu! How many trees have you climbed so far? Its the rainy season you know. 🙂
Inafaa useme the bestest. 😀 Sio the best.Non but i have climbed BRT ONLY The best in the World. [emoji28]
Hiyo mnasemaga nyinyi watu wa Mbeere...Inafaa useme the bestest. 😀 Sio the best.
Sanasana nyinyi wasukuma. Hahaha! Mbavu zangu jameni. 😀Hiyo mnasemaga nyinyi watu wa Mbeere...
Hahahaha.....na wanachora mistari mizuri sana iliyonyooka.kuiga?.. bbc kuweni na adabu. hawajafikia hata robo yake.
acha tu waendelee kuchira mistari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 737105
Fedha watoe wapi?Wangeweka block badala ya kuchora line
Naona nimepatia Kijiji chenu [emoji28], Mimi siyo Msukuma msee.. natokea eneo lenye hadhi kama Kajiado uko kwenuSanasana nyinyi wasukuma. Hahaha! Mbavu zangu jameni. 😀
Shee ero! Ke moda? Kae ole ng'ae?Naona nimepatia Kijiji chenu [emoji28], Mimi siyo Msukuma msee.. natokea eneo lenye hadhi kama Kajiado uko kwenu
Hiki mbona kama KimasaiShee ero! Ke moda? Kae ole ng'ae?
Bure kabisa.Hiki mbona kama Kimasai
Ovyo kabisa.. go away with your tribalistic behaviour, usije kuni ambukizaBure kabisa.
I have never been tribalistic. I thought you said you come from Maa Land. Kumbe ni 'kiswahili murefu' tu? Saitaan!Ovyo kabisa.. go away with your tribalistic behaviour, usije kuni ambukiza
Wewe huku nielewa! Uko slow sana... Niache kwanza nicheck Yanga wana vyo wapiga waethiopiaI have never been tribalistic. I thought you said you come from Maa Land. Kumbe ni 'kiswahili murefu' tu? Saitaan!
Bahati yako timu yetu ya Raga 7s, Shujaa wamefanya mambo kule Hong Kong.Wewe huku nielewa! Uko slow sana... Niache kwanza nicheck Yanga wana vyo wapiga waethiopia