Some wise kenyans on twitter arguing about their fake brt vs the real brt in dar.

Wanatumaindi sana jombaa. Sijui hata sisi pia tuwafate kule insta? 😀😀😀
kaka insta hutopata serious issues kuhusu watz, sana sana utakutana na story za udaku wa macebrity wa bongomuvi na wanamuziki.
 
hahahahaha.. huko twitter ni full burudani...[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
IMG_20180407_191501.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
IMG_20180407_191733.jpg
 
Bahati yako timu yetu ya Raga 7s, Shujaa wamefanya mambo kule Hong Kong.
Wajaluo na miili yao ndiyo wana wabeba uko! Ila all of your foot ball clubs have been kicked off the continental competitions
 
Wewe unajua Raga ni mwili. Cheki line up ya timu ya Raga 7s kule Australia kabla ya kueneza ukabila wako. Commonwealth games are ongoing in Gold Coast. Where is Tz? Upande wa pili kule Hong Kong Shujaa wanaingia semis! International stuff.
 
Kule ni maswala ya makalio nani anakalio kubwa kuliko mwenzane ,nani na nani wanachomekana dyu dyu ,nani shoga na nani msagaji !
Wakati mwingine ninamuhurumia magufuli maana anakazi sana ya kuwabadilisha watanzania wa namna hii
Watanzania wengi wanaendeshwa na Dyudu.
 
These are true patriots unlike many Kenyan JF members
True Tanzanian patriots are in the Jukwaa La Siasa Section hata wewe unajua hivo. Juzi tu mtanzania pale akaiita Tz Tanzagiza due to frequent power outages lakini hapana Kenya section hamna mtzee anapost habari mbaya au kukashifu Nchi yake.

You are mostly hypocritical and biased concerning our matters. Kusema ukweli sijaona kina joto la jiwe pale ama kina geza sababu ikiwa ni kupatiwa dose ya ukweli na those Patriotic Tanzanians. I know for a fact that most of you get that nostalgic effect discussing anything Kenyan.
 
Wewe unajua Raga ni mwili. Cheki line up ya timu ya Raga 7s kule Australia kabla ya kueneza ukabila wako. Commonwealth games are ongoing in Gold Coast. Where is Tz? Upande wa pili kule Hong Kong Shujaa wanaingia semis! International stuff.
Unzgemuuliza kama washawahi shinda medali yoyote since Independence.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yani mmetoa povu kisa nimetaja wajaluo!! Haya basi wa Kikuyu na Luo ndiyo wanajua Rugby... Smile now[emoji28]
Unzgemuuliza kama washawahi shinda medali yoyote since Independence.
 
True Tanzanian patriots are in the Jukwaa La Siasa Section hata wewe unajua hivo. Juzi tu mtanzania pale akaiita Tz Tanzagiza due to frequent power outages lakini hapana Kenya section hamna mtzee anapost habari mbaya au kukashifu Nchi yake.

You are mostly hypocritical and biased concerning our matters. Kusema ukweli sijaona kina joto la jiwe pale ama kina geza sababu ikiwa ni kupatiwa dose ya ukweli na those Patriotic Tanzanians. I know for a fact that most of you get that nostalgic effect discussing anything Kenyan.
Naona umeandika Insha kwa uchungu! [emoji1] [emoji1].. Black outs tumesha zisahau yani umeme ukikatika ni within 15mins ni lights on. Hapa naangalia timu yako inavyo adabishwa.. This must be the cause ya hiyo insha yako [emoji28]
 
Vipi simba?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
IMG_20180408_123338.jpg
 
Back
Top Bottom