Somebody tell Odinga: Useless fighting an unrecognized enemy!

there are two lines of ethnicity. The pro Luo and Kikuyu. those tribes you mentioned are one of those two noble tribes.
this's is why you have GEMA thing and like.

We husaidiki. Tatizo lako Ni kuona kuwa umejua zaidi . Wajaluo ni namba 4 kkwa wingi. Rails amesimama kivyake na ako na support hata Kule kwa waluhya.
 
"Pombe" aliyoinywa Odinga kutoka Bongo ndio imempoteza kabisa. At least angekomaa na mataputapu ya huko kwao, pengine ingemsaidia.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
We husaidiki. Tatizo lako Ni kuona kuwa umejua zaidi . Wajaluo ni namba 4 kkwa wingi. Rails amesimama kivyake na ako na support hata Kule kwa waluhya.

katika wote nilioongea nao na mijadala mingi iliyofanyika wanakili ya kuwa Kenya kuna ukabila hususan pindi za uchaguzi. sasa sijajua wewe watoa wapi marejezo yako. Jana nilikuwa namsikiliza prof anyang' nyong'o alikuwa akifafanua kuwa baraza la mawaziri la Kenyatta lililopita lilikuwa linaonekana kana kwamba lina sura ya kitaifa, lkn ukiangalia kwa undani wizara nyeti zote zimeenda kwa mawaziri wa upande wake kikabila. mfano kwenye wizara ya ulinzi na fedha nk.

sasa omo nashindwa kukuelewa unaiongelea Kenya ipi isiyo na ukabila.
 
Usikatae ukweli uliodhahiri.
Wakenya wenzetu mna tatizo kubwa sana la ukabila.
Everything is being done on ethnic lines.

Siyo siri , trbal chiefs are part of local political extensions.

I would be the last to believe kukubali kuwa Kenyatta is popular in Kisumu!
 
Do you think RAO don know that?
He thinks he won through tribes votes.
I think we should let him fight and time will tell...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…