Somebody tell Odinga: Useless fighting an unrecognized enemy!

Somebody tell Odinga: Useless fighting an unrecognized enemy!

there are two lines of ethnicity. The pro Luo and Kikuyu. those tribes you mentioned are one of those two noble tribes.
this's is why you have GEMA thing and like.

We husaidiki. Tatizo lako Ni kuona kuwa umejua zaidi . Wajaluo ni namba 4 kkwa wingi. Rails amesimama kivyake na ako na support hata Kule kwa waluhya.
 
"Pombe" aliyoinywa Odinga kutoka Bongo ndio imempoteza kabisa. At least angekomaa na mataputapu ya huko kwao, pengine ingemsaidia.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
We husaidiki. Tatizo lako Ni kuona kuwa umejua zaidi . Wajaluo ni namba 4 kkwa wingi. Rails amesimama kivyake na ako na support hata Kule kwa waluhya.

katika wote nilioongea nao na mijadala mingi iliyofanyika wanakili ya kuwa Kenya kuna ukabila hususan pindi za uchaguzi. sasa sijajua wewe watoa wapi marejezo yako. Jana nilikuwa namsikiliza prof anyang' nyong'o alikuwa akifafanua kuwa baraza la mawaziri la Kenyatta lililopita lilikuwa linaonekana kana kwamba lina sura ya kitaifa, lkn ukiangalia kwa undani wizara nyeti zote zimeenda kwa mawaziri wa upande wake kikabila. mfano kwenye wizara ya ulinzi na fedha nk.

sasa omo nashindwa kukuelewa unaiongelea Kenya ipi isiyo na ukabila.
 
Sijakataa role ya Kabila katika siasa. Kile ninachokuambia mabacho wengi wenu hamuelewi, ni kuwa kabila si kila kitu.

Waluhya ni wa pili kwa idadi baada ya wakikuyu; Jirongo ambye ni mluhya alipata kura ngapi?
Kaluyu ni mkamba, alipata kura ngapi za wakamba?
Ekuru Aukot ni Mturkana, alipata kura ngapi za waturkana?
Abdouba Dida ni msomali, alipata kura ngapi za wasomali na waislamu?
Wainanina ni mkikuyu, alipata kura ngapi za wakikuyu?

Ukijiuliza hayo maswali, ndiposa utaelewa sio eti kila kitu ni Ukabila kama mlivyoaminishwa
Usikatae ukweli uliodhahiri.
Wakenya wenzetu mna tatizo kubwa sana la ukabila.
Everything is being done on ethnic lines.

Siyo siri , trbal chiefs are part of local political extensions.

I would be the last to believe kukubali kuwa Kenyatta is popular in Kisumu!
 
Odinga is in a tight space, a space lived by his father ages ago.

Odinga went into a ballot duel that he simply could not win.

The unrecognised enemy affecting all Kenyans is tribalism, and this has neither helped Odinga nor Kenyatta.

The problem plaquing Kenya , tribalism , is the enemy that is conveniently left undiscussed in ordinary day to day politics.

And the tribal numbers is what counts.
Break down tribal alliances in politics, and break down the differences as in Tanzania is what matters.
So Odinga will never win in an election based on tribal numbers, and thats because he represents the minority.

Odinga should recognize the enemy first and methodically know of ways to address the problem.
Do you think RAO don know that?
He thinks he won through tribes votes.
I think we should let him fight and time will tell...
 
Back
Top Bottom