Mundu Mulosi
New Member
- Jul 30, 2018
- 3
- 0
Nimefika wadau, wageni wanakaa/wanaketi wapi? Siko poa sana Kiswahili, huko kwetu tunachanganya, swa, Engrich, Kibukusu, et al.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaaYani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa?
Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri.
karibu!
We unajiita mundu mulosi lakini kumbuka kukabidhi mikoba yako kwa mshana jrNimefika wadau, wageni wanakaa/wanaketi wapi? Siko poa sana Kiswahili, huko kwetu tunachanganya, swa, Engrich, Kibukusu, et al.
Mshana Jnr ni nani na anafanyanga nini?We unajiita mundu mulosi lakini kumbuka kukabidhi mikoba yako kwa mshana jr
Hii kiswahili yenu mingi haileti shangwe.Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa?
Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri.
karibu!
Hii kiswahili yenu mingi haileti shangwe.
Huyo ndiye nguli wa masuala yote ya ulozi humu ndani, sasa kama una masuala yoyote yanahusiana na uchawi na wanga (jina lako linasadifu yaliyomo "mulosi") wasiliana na ndugu Mshana Jr ili akupe utaratibu.Mshana Jnr ni nani na anafanyanga nini?