Somebuddy Give me a chair

Somebuddy Give me a chair

Mundu Mulosi

New Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Nimefika wadau, wageni wanakaa/wanaketi wapi? Siko poa sana Kiswahili, huko kwetu tunachanganya, swa, Engrich, Kibukusu, et al.
 
kiingilio tuma kwenye namba hii 0753546111
 
Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa?

Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri.

karibu!
hahahahahaa
 
Nimefika wadau, wageni wanakaa/wanaketi wapi? Siko poa sana Kiswahili, huko kwetu tunachanganya, swa, Engrich, Kibukusu, et al.
We unajiita mundu mulosi lakini kumbuka kukabidhi mikoba yako kwa mshana jr
 
Yani ndo umefika leo tu unaomba kiti, ukimaliza wiki si utaomba kitanda kabisa?

Anyway, nimefurahi kufahamu JF imefika huko ambako kiswahili bado hakijafika vizuri.

karibu!
Hii kiswahili yenu mingi haileti shangwe.
 
Mshana Jnr ni nani na anafanyanga nini?
Huyo ndiye nguli wa masuala yote ya ulozi humu ndani, sasa kama una masuala yoyote yanahusiana na uchawi na wanga (jina lako linasadifu yaliyomo "mulosi") wasiliana na ndugu Mshana Jr ili akupe utaratibu.
Asante
 
Back
Top Bottom