MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kuna watu wasipowataje Israel hawalali. Yaani israel ndio kula yao.Us ndio anashambulia Yemen pamoja na UAE, Saud Arabia na wanajeshi wanao jidai wa serekali ya Yemen iliopo Aden, South Yemen. Afu wajidai Israel ndio kapiga 😄 🤣 😂