MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kuna watu wasipowataje Israel hawalali. Yaani israel ndio kula yao.Us ndio anashambulia Yemen pamoja na UAE, Saud Arabia na wanajeshi wanao jidai wa serekali ya Yemen iliopo Aden, South Yemen. Afu wajidai Israel ndio kapiga π π€£ π
Na wakiendelea kuvaa vibali kichwani,watakwishaDini ya Mudi iliwaharibu sana Hawa Waarabu unajua ukiwa chukua Wayemeni n Wairaq kwa kiasi kikubwa sana ni ndugu na Wayahudi ila Mirungi imewaharibu sana Wayemeni
Umesikia ya leo? Unafuatilia vyombo gani vya habari Mkuu?Us ndio anashambulia Yemen pamoja na UAE, Saud Arabia na wanajeshi wanao jidai wa serekali ya Yemen iliopo Aden, South Yemen. Afu wajidai Israel ndio kapiga π π€£ π
swali umeulizwa jibu kwanza hamas na hezbola wanasaidiwa au hawasaidiwi?Naona nimewafunga zipu wafuasi wa Israel kuwawekea dalili hata hio vita vya Gaza Israel hapigani na Hamasi bila kusaidiwa π€£ jeshi la kenge ni kenge tu hata wawe na Nuclear, wataitumia wapi hio Nuclear, walimba ohh tutapiga Gaza Nuclear, machizi kweli hao wanadhani wangepiga Nuclear Gaza watasalimika na wao π€£
Basi kama ndio hivyo, mwisho wa Houth umefikaUs ndio anashambulia Yemen pamoja na UAE, Saud Arabia na wanajeshi wanao jidai wa serekali ya Yemen iliopo Aden, South Yemen. Afu wajidai Israel ndio kapiga π π€£ π
Hahaha yani Israel kashanbulia nini zaidi ya aliyo shambulia UK, US na Saud Arabia. We unajua kilicho tokea leo Tela Aviv au bado umelala.Umesikia ya leo? Unafuatilia vyombo gani vya habari Mkuu?
Iran ilikuwepo kabla ya hivyo vikundi , yule ni nchi kamiliSure. To be more precise, after the Houthis ,their father Iran could be the nexr target!
Al Houth ikiwa Saud Arabia alishindwa aweze US na Israel. Unajua kwanini nasema hivi. Saud Arabia hakuna silaha hakutumia, na zote ni za US na alikuwa ni US anamtumia Saud Arabia na walishindwa waje wao washinde.Basi kama ndio hivyo, mwisho wa Houth umefika
How is that working out currently?Inshallah we will wipe all yahud
Wanawapa shida tu wananchi. Badala ya kujenga uchumi wao wanakalia vita tu nchi yenyewe masikini.Al Houth ikiwa Saud Arabia alishindwa aweze US na Israel. Unajua kwanini nasema hivi. Saud Arabia hakuna silaha hakutumia, na zote ni za US na alikuwa ni US anamtumia Saud Arabia na walishindwa waje wao washinde.
Swali la Hamas alisha jibu General wa Israel, alisema hakuna sehemu au tunnels hawakuingia za Gaza hawakuona dalili Hamasi anasaidiwa. Alicho gundua Hamasi wanatengeneza silaha wenyewe tena kwa materials wala huwezi kutegemea.swali umeulizwa jibu kwanza hamas na hezbola wanasaidiwa au hawasaidiwi?
Kenge nani aliye kuambia Gaza imepigwa nuclear hebu leta dalili nilisema imepigwa nuclear? Kila siku nasema hapa wafuasi wamkosa nyumba akili zao ziko njia panda kama alipo lala mkosa nyumba.Ewe kobazi mwenzetu pale gaza hapajapigwa nyuklia pako vile ,pakipigwa shura ya Maimam lazima igare gare
Israel hawapi shida wananchi wake tokea kundwa taifa fake la kikristo jeshi lake lipo vitani tu π π€£ hizo silaha wanazo zitumia zingetumiwa kuwajenga waisrael wangekuwa mbali sana. Silaha zingewaletea usalama wasinge kuwa wanakufa au kukimbizana kwenye mashimo kama panya.Wanawapa shida tu wananchi. Badala ya kujenga uchumi wao wanakalia vita tu nchi yenyewe masikini.
Iraq,Syria, Lebanon, Palestine zimerudi nyuma kiuchumi kwa sababu ya vitaIsrael hawapi shida wananchi wake tokea kundwa taifa fake la kikristo jeshi lake lipo vitani tu π π€£ hizo silaha wanazo zitumia zingetumiwa kuwajenga waisrael wangekuwa mbali sana. Silaha zingewaletea usalama wasinge kuwa wanakufa au kukimbizana kwenye mashimo kama panya.
Nani sababu si hao hao makenge waliye leta balaa duniani US, UK sa we jiulize US na UK hao Yemen lini waliwafata kwao π π€£Iraq,Syria, Lebanon, Palestine zimerudi nyuma kiuchumi kwa sababu ya vita
Alafu kumbe huwa unalewa wewe eenh? Umeona nilichoandika na ulichonijibu?Kenge nani aliye kuambia Gaza imepigwa nuclear hebu leta dalili nilisema imepigwa nuclear? Kila siku nasema hapa wafuasi wamkosa nyumba akili zao ziko njia panda kama alipo lala mkosa nyumba.
Huyo jamaa huwa anajibu kimihemko sana fuatilia utaonaAlafu kumbe huwa unalewa wewe eenh? Umeona nilichoandika na ulichonijibu?
Kubishana na huyo jamaa inahitaji moyoAlafu kumbe huwa unalewa wewe eenh? Umeona nilichoandika na ulichonijibu?