Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
.... Enzi hizo bwana wakati nasoma nilikutana na watu aina nyingi. Mpaka nikawa nashangaa were the weird type made especially for me?
1. Kuna siku moja bwana nimejikalia mwenyewe all alone pub ya chuo nakata bia. Enzi hizo Tusker haijanunuliwa na Serengeti na kuharibiwa ladha. Basi mda ukasogea pub ikachangamka. Kuna mijitu flani sijui ilikuwa imetokea pori flani ikawa imekaa tu. Nasema pori kwasababu mpaka leo sijaelewa how uncouth and barbaric one person can be. Basi likaja likakaa kwenye meza yangu. Likaangalia nakunywa nini likaniagizia bila kuniuliza. Tusker na Nyagi nachanganya. Neno la kwanza kumtoka ni 'dada naomba haja ndogo yako' nikamuuliza eeeh?? Akasema wewe una matatizo ya kusikia? Nimesema unipe haja ndogo yako. Nikamwambia haina noma kaka. Basi nikakata majiiii nilipofikia kuondoka zangu nikachukua ile chupa empty ya Konyagi nikaenda toilet nikamuwekea fresh from the source nikamwagia.
2. Kuna baba flani muhehe alitakaga kuniletea kesi. Alikuwa na umri wa miaka 50. Nlipomwambia nina mchumba wangu alienda moja kwa moja juu ya mti mrefu pale chuoni na kujitupa chini.
3. Eti bwana excitement ya mtu kukuona iliniponza. Kuna kaka flani, mbaba hasa alinibeba mbele ya mkuu wa chuo. Nlikuwa nimevaa kigauni kifupi so pata picha mkuu wa chuo aliona nini? Damn!
Mengine hata sitamanigi kukumbuka aisee. Sijui walienda wapi hawa watu, maskini mie mtoto wa watu.