Sometime nikikumbukaga past yangu huwa natamani kuchimba shimo nijitumbukize.

unanipaga raha weweee...

Ila mbona hakuna cha kujichimbia shimo?

Ni past ambayo ukiikumbuka unasmile peke yako
 
Sijaelewa aaaa! Au na leo umepata kitu cha nyagi na tusker?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kudadadeki kumbe we ni wa gimbi umetisha sana ila shimo unalosema ni kwa maana ipi yaan ujifukie kisa gimbi na mistarehe yako pole wenzio wanasema ya kale dhahabu dada ha!
 
.... Enzi hizo bwana wakati nasoma nilikutana na watu aina nyingi. Mpaka nikawa nashangaa were the weird type made especially for me?
1. Kuna siku moja bwana nimejikalia mwenyewe all alone pub ya chuo nakata bia. Enzi hizo Tusker haijanunuliwa na Serengeti na kuharibiwa ladha. Basi mda ukasogea pub ikachangamka. Kuna mijitu flani sijui ilikuwa imetokea pori flani ikawa imekaa tu. Nasema pori kwasababu mpaka leo sijaelewa how uncouth and barbaric one person can be. Basi likaja likakaa kwenye meza yangu. Likaangalia nakunywa nini likaniagizia bila kuniuliza. Tusker na Nyagi nachanganya. Neno la kwanza kumtoka ni 'dada naomba haja ndogo yako' nikamuuliza eeeh?? Akasema wewe una matatizo ya kusikia? Nimesema unipe haja ndogo yako. Nikamwambia haina noma kaka. Basi nikakata majiiii nilipofikia kuondoka zangu nikachukua ile chupa empty ya Konyagi nikaenda toilet nikamuwekea fresh from the source nikamwagia.
2. Kuna baba flani muhehe alitakaga kuniletea kesi. Alikuwa na umri wa miaka 50. Nlipomwambia nina mchumba wangu alienda moja kwa moja juu ya mti mrefu pale chuoni na kujitupa chini.
3. Eti bwana excitement ya mtu kukuona iliniponza. Kuna kaka flani, mbaba hasa alinibeba mbele ya mkuu wa chuo. Nlikuwa nimevaa kigauni kifupi so pata picha mkuu wa chuo aliona nini? Damn!
Mengine hata sitamanigi kukumbuka aisee. Sijui walienda wapi hawa watu, maskini mie mtoto wa watu.
Mi sijaona bado cha kukufanya useme ukikumbuka ya nyuma unatamani ujichimbie shimo!au kwa maulevi yako ulikuwa unaanguka hovyo na watoto wa kihuni wanajihudumia?kama unataka kuwa mwepesi sema ukweli ibilisi akimbie
 
Mbona ile yetu wewe hapana taja? Taja zote tu
 
Mi sijaona bado cha kukufanya useme ukikumbuka ya nyuma unatamani ujichimbie shimo!au kwa maulevi yako ulikuwa unaanguka hovyo na watoto wa kihuni wanajihudumia?kama unataka kuwa mwepesi sema ukweli ibilisi akimbie

Mjasiriamali mambo vipi?
 
Iwapo umeamua kuchimba shimo na kujitumbukiza basi utakua umeamua kufanya jambo moja la busara sana. Kama unashida ya vifaa niko tyari kukuazima. Nifikishie salam kwa utakao waona huko wendako.

hahahaha. Oh God.
 
Siku moja nilidondoka flaaaaaaatttt nimeshapiga cocktail ya Savannah na Vodka nikiwa nimevaa stilettos. Kudaadeki hata nikisema nlikuwa sijalewa nani ataamini. Sikurudia tena kuvaa heels nikiwa najua naenda kukata maji kama fish.
Duuh
 
Back
Top Bottom