Vipi wewe.Ngoja wenye hasira zao wanakuja kurusha ngenga zao hapa.
😂😂😂
Huwa tunashikana.Vipi wewe.
Huwa unamshika mkono mpenzi mbele za watu au huwa unashikwa
Wakandamizaji wakubwa nyie,mbona tutakonda sasa hayo mapenzi au maigizoMungu unipe mmoja kama huyu
Amina
Hakika mkuu yan ukijifanya una care sana basi yanageuzwa kuwa majukumu siku usipofanya tayari unakuwa mgogoro, kuwa gentleman kiasi isipitilize.Huo sio ugentleman mkuu,mbona tutakonda sasa yote hayo nifanye mimi eh...
Wanawake wenyewe wa sikuhizi hawa yan ukifanya vitu kwa upendo yeye anageuza ndo majukumu yako,kesho usipomfanyia inakua nongwa...
Halafu hata sisi tunapenda sana kufanyiwa hayo hayo,kwenye hayo tisa nafanya mawili au moja...
Kama atashindwa kupika kwakua ni mjamzito tutanunua tu chakula
Kweli mkuu tuwapende wenza wetu ila kuwepo na mipakaHakika mkuu yan ukijifanya una care sana basi yanageuzwa kuwa majukumu siku usipofanya tayari unakuwa mgogoro, kuwa gentleman kiasi isipitilize.
Kwani SIMP maana ake nini??
- Wakati mwingine inabidi uwe gentleman unayemjali mpenzi wako, kumnunulia maua au zawadi ndogo. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumfungulia mpenzi wako mlango au kumsaidia kubeba vitu vyake. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumtumia ujumbe wa kumtakia siku njema asubuhi. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumsikiliza mpenzi wako anapokuwa na shida au anahitaji mtu wa kuongea naye. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumheshimu mpenzi wako mbele ya watu na kumsifia. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumjali na kumuuliza kama amefika nyumbani salama. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumshika mkono au kumuonyesha mapenzi hadharani kwa heshima. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumsaidia mpenzi wako wakati ana siku ngumu au anapitia changamoto. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumwonyesha mapenzi na kumfanya ajisikie wa thamani katika maisha yako. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
Mwanaume ukipenda vizuri, haya yote yanakua rahisi kufanya na ukipendwa vizuri, hakuna kitu mwanamke hatakufanyia.
- Wakati mwingine inabidi uwe gentleman unayemjali mpenzi wako, kumnunulia maua au zawadi ndogo. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumfungulia mpenzi wako mlango au kumsaidia kubeba vitu vyake. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumtumia ujumbe wa kumtakia siku njema asubuhi. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumsikiliza mpenzi wako anapokuwa na shida au anahitaji mtu wa kuongea naye. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumheshimu mpenzi wako mbele ya watu na kumsifia. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumjali na kumuuliza kama amefika nyumbani salama. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumshika mkono au kumuonyesha mapenzi hadharani kwa heshima. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumsaidia mpenzi wako wakati ana siku ngumu au anapitia changamoto. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumwonyesha mapenzi na kumfanya ajisikie wa thamani katika maisha yako. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
Huyu mpenzi wako anapaswa kuwa mzungu.

Hivi kuna mwanaume alikua na mbwembwe baada ya kuoa kama Masanja mkandamizaji?Huo sio ugentleman mkuu,mbona tutakonda sasa yote hayo nifanye mimi eh...