win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,056
- 37,608
maigizo gani sasaš hayo ndo mahaba yenyewe,, hizo nyingine ni fujo unazoziishi wew na mamsi wakoWakandamizaji wakubwa nyie,mbona tutakonda sasa hayo mapenzi au maigizo
maigizo gani sasaš hayo ndo mahaba yenyewe,, hizo nyingine ni fujo unazoziishi wew na mamsi wakoWakandamizaji wakubwa nyie,mbona tutakonda sasa hayo mapenzi au maigizo
Daah.! Kwamba nimfungulie mlango au nimbebee pochi. Nilivyo na pigo za kihip hop,, kwanza wife atashangaa, anaweza kujua nimechanganyikiwa
- Wakati mwingine inabidi uwe gentleman unayemjali mpenzi wako, kumnunulia maua au zawadi ndogo. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumfungulia mpenzi wako mlango au kumsaidia kubeba vitu vyake. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumtumia ujumbe wa kumtakia siku njema asubuhi. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumsikiliza mpenzi wako anapokuwa na shida au anahitaji mtu wa kuongea naye. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumheshimu mpenzi wako mbele ya watu na kumsifia. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumjali na kumuuliza kama amefika nyumbani salama. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumshika mkono au kumuonyesha mapenzi hadharani kwa heshima. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumsaidia mpenzi wako wakati ana siku ngumu au anapitia changamoto. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumwonyesha mapenzi na kumfanya ajisikie wa thamani katika maisha yako. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
Simp ni mwanaume anaevuka bahari kwa ajili ya mwanamke ambae hawezi kuvuka mfereji kwa ajili yake.Kwani SIMP maana ake nini??
Hujui unachokiomba, ukimpata wa hivyo mara nyingi wewe unakuwa humtaki hivyo utaishia kum-fustrate..hutopokea simu zake kwa makusudi, utachelewa kujibu sms zake au kutomjibu kabisa, utamnyima sex na attention yako, utamchuna hela.. cycle will repeat win-oneMungu unipe mmoja kama huyu
Amina
hebu nimpate kwanza ndo nitajua kama haya maneno ni kweli au lahšš nitakupa mrejeshoHujui unachokiomba, ukimpata wa hivyo mara nyingi wewe unakuwa humtaki hivyo utaishia kum-fustrate..hutopokea simu zake kwa makusudi, utachelewa kujibu sms zake au kutomjibu kabisa, utamnyima sex na attention yako, utamchuna hela.. cycle will repeat win-one
Huu upumbavu wa kuiga mambo ya wazungu unawaharibia sana vijana. Mwanamke wa kiafrika anataka hekaheka... ukitaka udumu na mwanamke wa kitanzania zingatia hii msemo wa kizaramo "FUMANIZI HUIMARISHA PENZI"... Hata kama haumsaliti mtengenezee mazingira hata la fumanizi feki ili apate kitu cha kumuweka bize. Ukifanya hayo uliyoandika lazima akuache.
- Wakati mwingine inabidi uwe gentleman unayemjali mpenzi wako, kumnunulia maua au zawadi ndogo. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumfungulia mpenzi wako mlango au kumsaidia kubeba vitu vyake. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumtumia ujumbe wa kumtakia siku njema asubuhi. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumsikiliza mpenzi wako anapokuwa na shida au anahitaji mtu wa kuongea naye. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumheshimu mpenzi wako mbele ya watu na kumsifia. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumjali na kumuuliza kama amefika nyumbani salama. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumshika mkono au kumuonyesha mapenzi hadharani kwa heshima. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumsaidia mpenzi wako wakati ana siku ngumu au anapitia changamoto. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
- Kumwonyesha mapenzi na kumfanya ajisikie wa thamani katika maisha yako. Hii sio simping, ni kuwa gentleman.
Katibu kama KatibuHivi kuna mwanaume alikua na mbwembwe baada ya kuoa kama Masanja mkandamizaji?
Kila siku anajaza server za insta. Msukuma wangu msukuma wangu msukuma wangu. Kumbe katibu alikua anamchora tu
Hapo juu umeandika nini??Simp ni mwanaume anaevuka bahari kwa ajili ya mwanamke ambae hawezi kuvuka mfereji kwa ajili yake.