Sometimes wanaume tuwe makini na demu gani unampeleka kiwanja gani.

Sometimes wanaume tuwe makini na demu gani unampeleka kiwanja gani.

Inategemea,na dem mwenywe
Bhana alivo unampeleka
Sehem ambayo anaendana
Na kiwango chake

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hayo makosa tunayafanya sn na kuyarudia mara kwa mara na mwisho kutolewa kwenye mashindano
Kwa mf;Taifa stars tulicheza la Lesotho kule azam complex samatta akasema uwanja uliwasaidia wagen!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu demu nilie nae sijui ata analike nini maana sio mtu wa outing au useme anatizama movie au tv sio mtu wa hayo mambo saa sijui ata nimpeleke wapi akitaka
 
Back
Top Bottom