Hayo makosa tunayafanya sn na kuyarudia mara kwa mara na mwisho kutolewa kwenye mashindano
Kwa mf;Taifa stars tulicheza la Lesotho kule azam complex samatta akasema uwanja uliwasaidia wagen!!!
Mkuu huyu demu nilie nae sijui ata analike nini maana sio mtu wa outing au useme anatizama movie au tv sio mtu wa hayo mambo saa sijui ata nimpeleke wapi akitaka