"SOMETIMES YOU WIN, SOMETIMES YOU LOSE" , ukikubaliana hili hautakaa kuonea uchungu maisha pale utakapokuwa chini

"SOMETIMES YOU WIN, SOMETIMES YOU LOSE" , ukikubaliana hili hautakaa kuonea uchungu maisha pale utakapokuwa chini

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Hakuna cha majaliwa

Hakuna cha riziki

Hakuna cha nyota

Hakuna cha kudra

Hakuna cha ipo siku yangu tu

kile kinachokuathiri either positively au negativeluly ni matokeo ya uhalisia wa mienendo yako na mienendo ya wengine ambayo haiko chini ya uwezo wako.
 
Kaka mbona mnaandika kidogo aisee tunatamani mtoe lecture nyingi za metaphysics
 
Back
Top Bottom