Kaka mbona mnaandika kidogo aisee tunatamani mtoe lecture nyingi za metaphysicsHakuna cha majaliwa
Hakuna cha riziki
Hakuna cha nyota
Hakuna cha kudra
Hakuna cha ipo siku yangu tu
kile kinachokuathiri either positively au negativeluly ni matokeo ya uhalisia wa mienendo yako na mienendo ya wengine ambayo haiko chini ya uwezo wako.