Somo gani lilikuwa mteremko kwako shuleni, halikusumbui hata kidogo.

Somo gani lilikuwa mteremko kwako shuleni, halikusumbui hata kidogo.

Dah...sayansi ya militia darasa la 3...ilikuwa uji Sana...[emoji41]
 
hakuna somo gumu kwangu!
but Leo nimeibiwa na MTU anayetumia jina la ummy mwalimu Facebook
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mm nusura niibiwe kwa niaba ya mtu wangu wa karibu, nilitaka nimfanyie application lakini nikafanya uchunguzi nikaja kugundua sio
 
Huyu jamaa kapiga hela ndefu sanaa!
Daaah! Sio masihara, na hv vijana walivyo na shida ya ajira hawezi kukosa watu 200 hapo, so 200x10,000=2,000,000 daaah! Kesho anabuni kitu kingine tena, kazi kwelikweli. Mi nashukuru pona yng nilitaka nimpe dogo aombe mwnyw, nikawaza hapana ngoja nimfanyie mwenyewe asijepigwa. Nikaenda twitter na instagram nikaona kapost habari zingine tu tena current ila hii haipo, nikapata harufu ya upigaji, nikaacha. Ila pole mkuu, siku nyingine chunguza kwanza.
 
masomo yote yalkuwa magumu kwangu ila kulala Dom wakati wa vipind, mapumziko,talent day,kudoj chaka, siku za michezo au league, kulala na kusoma magazeti night prepo,kengele za msosi,kutoroka shule kwenda kuchek mech usku hiv ni miongon mwa vipindi ambavyo vilkuwa mteremko kwangu
 
Hesabu nikiwa msingi , nilipoingia sekandari moto ukawaka nikatimka spidi .
 
Yote yalikuwa magumu kwangu coz yalikuja na ndege
 
Fizikia na Baiolojia yaani maji tu, nakumbuka pale Mazengo camp dogo mmoja Komba wa PGM alikuwa anashangaa Mimi wa PCB nilivyokuwa naikaba physics kuwazidi wao

Ulipiga Mazengo/Alliance mwaka gani?
 
Nakumbuka mwaka fulani hivi kipindi hiko tunafanya mitihani ya ujirani mwema so nilipiga mtihani wa lugha 45/50 enzi zetu mtihani wa Kiswahili na Kiingereza ulikuwa unaweka pamoja na maswali yalikuwa hamsini tu hivyo hapo niliacha alama 5 tu shule yetu ya Mbagala P/S iliongoza kwa somo hilo na mimi ndiye nilikuwa kinara.

Nilipoenda secondary kidato cha kwanza mpaka cha pili kwa wale waliosoma Dar es salaam Christian Seminary(VOSA) kipindi cha mwalimu Ndayishima watakuwa wananijua nilikuwa naongoza somo la English yaani katika 100% nilikuwa naacha either 10% or less than that.

Sana sana ilikuwa kwenye structure kaa mbali na mimi ila kuongea ndiyo shida mpaka leo lakini kwenye swala la kujibu mitihani ilikuwa ni hatari.
 
Biology and chemistry.
I enjoyed these subjects at o-level
 
Back
Top Bottom