SOMO:Huwezi kuaminiwa na watanzania kuendesha nchi kwa hoja au agenda moja tu

SOMO:Huwezi kuaminiwa na watanzania kuendesha nchi kwa hoja au agenda moja tu

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi.

Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbalimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
ndo hii
FB_IMG_1783966734770.jpg
 
Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi.
Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
halafu kudhani kwamba eti Ted Cruz wa seneti ya USA na David McAlister wa EU ndio wanaweza kuwasadia kushinda uchaguzi wa Tanzania au kupata uongozi nchini, ni kitu ambacho kimewaharibia zaidi na kuwafanya waTanzania kuwatambua rasmi kwamba wao ni vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na ndio maadui wakuu wa amani, umoja na ustawi wa Tanzania 🐒
 
Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi.

Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Waambie Mabosi wako waache woga. Mikutano ya vyama vya siasa ipo kisheria. Waache kutumia polisi kama kichaka chao cha kujilindia. Kuna siku hicho kichaka kitaungua moto na hivyo kukosa pa kujificha
 
  • Thanks
Reactions: al1
Kamwe na haitatokea eti agenda moja tu ndio inaweza kuwashawishi watu milioni 60 na zaidi kukupa nchi.

Hata kunishawishi mmoja mimi tu unahitaji agenda zaidi ya 20 hivi kutoka sekta mbimbali ili nikupe muda wa kukusikiliza.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Chawa wa kanywe visungura wakalale wasitupigie mayowe Watanzania tunayo mambo ya msingi ya kuongea hata kama ni robo agenda ilimradi ni kwa manufaa ya Watanzania tena wasio chawa na maslahi ya taifa hili.
 
Back
Top Bottom