General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
Moderetors + Members habari,Poleni na majukumu,
Ukienda katika jukwaa la Science na Tech nimejaribu kugusia kwa kiwango kidogo malengo yao.
Link:Akili bandia kuwa kuongeza umri wa kuishi na kuzuia kuzeeka nyuso.
Nawaza katika vitabu vyetu vikuu vya Imani yaani BIblia na Quraan hasa katika utabiri wao wa siku za mwisho hapa Dunian.i Je vilijaribu kuonesha mwanga hata katika Lugha ya Picha Kuhusu ujio wa Tech ya AI.Je mitume na waandishi wa vitabu waliweza kumtaja binadam na hii Science ilipo kwa sasa kwa utabiri.Kwa kumdhoofisha na zana yao kuwa hakuna Mungu.
Science Sasa imekuwa kwa kiasi Kubwa sana Hasa kwa utengenezaji wa Maroboti na malengo yao.
Science Sasa imekuwa kwa kiasi Kubwa sana Hasa kwa utengenezaji wa Maroboti na malengo yao.
Ukienda katika jukwaa la Science na Tech nimejaribu kugusia kwa kiwango kidogo malengo yao.
Link:Akili bandia kuwa kuongeza umri wa kuishi na kuzuia kuzeeka nyuso.
Ningeomba kujuzwa kwa namna ya kuelimishwa hata jamii kupitia Biblia na Quraan hasa katika kuwapinga wana SCIENCE na imani yao kuwa hakuna Mungu.
Kwa ujio wa haya Marobort.
Asanteni.
Kwa ujio wa haya Marobort.
Asanteni.