Somo kutoka Mumbai

Somo kutoka Mumbai

nimeifuatilia hii thread
n when i was in bongo dis summer kusema kweli nilihuzunishwa na kitu kimoja kikubwa

nilihudhuria maonyesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama saba saba n i was shocked kuona maonyesho makubwa kama yale ambayo maelfu ya watu huingia eti at dis tym ya maisha yetu ya ugaidi bado mlangoni wat is given more priority ni kulipa shilingi elfu mbili na kuingia ndani without even kusachiwa kidogo

i once asked my self hw serious r we? je ikitokea hawa watu wasio na utu hata kidogo wakaingia na zana zao za kazi ka walivyofanya mumbai?tutapata maafa kiasi gani?
kama alivyosema mmoja wetu sie kusema kweli tushukuru Mungu tu kuwa anatujalia rehema mpaka leo hii inspite of once kuwa attacked na hawa magaidi but we never got any lessons from it

nikawa najiuliza how many majengo na hoteli ziko bongo ambazo zinapokea watu wengi kwa mkupuo ila hakuna hata kucheki waingiao wana any silahaz?how aserious r we?

nw we hav li uwanja la mpiwa la watu kama elfu 50 je huwa wanachekiwa before kuingia ndani?

au ndo twasubiri maafa yatokee ndio tuanze de blame games?
 
furthermore we can all hear abt the things magaidi wanaendelea kufanya kwenye bahari ya mombasa kule (kuteka meliz na kadhalika) what hav our navy done so far?kusema ku improve ulinzi?maana kama alivyosema mmoja wetu somewhere wenzetu wananyolewa nasi twaona wat we have to do is kutia kichwa maji na kuchagua style gani tutanyolewa!!!

lakini am sure kila mtu huko anasema ahh si imetokea mombasa huko sio kwetu,lets wait itokee kwetu then these kind of issues wil b taken seriously bongo!
 
Kama kweli naona ni mauzauza tu ya kujikurupusha tufanye hili sijui tufanye lile !! Inajulikana wazi kuwa polisi wetu hawahudhurii kwenye vitendo live vya uhalifu mpaka wamehakikisha kuwa majambazi yameshaondoka ndio na wao hutokeza pua ,jambo hili sio geni polisi wanachelewa kufika kwenye vitendo vya uhalifu ambavyo huarifiwa na wananchi matu tu majambazi yanapotua na kuonekna hali si ya kawaida ,lakini polisi wetu wamekuwa wapuuzaji au waoga kwa kushughulikia mitafaruku ya aina hii ila huwa wa mwanzo kufika kwenye maandamano ya vyama vya siasa.
Ni watu wangapi wanaawarifu polisi kuwa kuna ujambazi au uhalifu unatokea na wao polisi hawaonekani mpaka majambazi yamekwisha kutoweka na hata ukipima umbali wa kituo cha polisi ni mwendo wa dakika tatu kwa gari ya polisi ambayo inaruhusa kutimua mbio. Tusidanganyike na kutaka kupima mambo makubwa na hali ya kwetu ikiwa majambazi wanatoa jambajamba kwa polisi itakuwa watu ambao wamekusudia kufa lakini ujumbe waufikishe na ndivyo tulivyoona huko India Ujumbe umefika.
 
furthermore we can all hear abt the things magaidi wanaendelea kufanya kwenye bahari ya mombasa kule (kuteka meliz na kadhalika) what hav our navy done so far?kusema ku improve ulinzi?maana kama alivyosema mmoja wetu somewhere wenzetu wananyolewa nasi twaona wat we have to do is kutia kichwa maji na kuchagua style gani tutanyolewa!!!

lakini am sure kila mtu huko anasema ahh si imetokea mombasa huko sio kwetu,lets wait itokee kwetu then these kind of issues wil b taken seriously bongo!

Hao si magaidi bali ni aina ya watu ambao walikuwepo zamani katika bahari kubwa ila wamerudi tena safari ni katika mwambao wa Afrika ya Mashariki ,watu hao wanajulikana kama PIRATES wa zamani wakiteka majahazi ila hawa wa sasa wao wako mbele zaidi wanateka mchuma mzima (Meli) Somalian Pirates huenda katika filamu ya Pirates wakaingizwa katika volume 5.Mimi nimefurahi sana kuona nasi waafrika tunaandika historia katika dunia ,very interesting.
 
Back
Top Bottom