kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Basata wanatakiwa kujifunza toka kwa NBC ya Nigeria sio Basata kila cku Ina fungia video za ndani ya Tanzania za nje zinazoharibu watoto wetu na wadogo zetu zinaendelea kupeta na kupigwa mchana kweupe Nigeria kuna video za nje zimefungiwa kutochezwa kwa TV wala kusikika
Raisi ajaye aipanguee hii basata
Raisi ajaye aipanguee hii basata