CCM, ANC, FRELIMO, MPLA vyama dola muda wenu umekwisha. Maandamano ya Mozambique 2024, Maandamano ya MO29, 2025 Tanzania ni jumbe tosha.
Maandamano ya March to March April 2026 South Africa yanaonesha vijana hawakubaliani tena na vyama kongwe vinavyodai vilileta uhuru ktk nchi zao
ANC YAKATALIWA NA RAIA SIKU YA FREEDOM DAY 28 APRIL 2026
Mjini Bloemfontein
Jimbo la Free State
Republic of South Africa
View: https://m.youtube.com/watch?v=ypsOeuO-RH0
MADA : KULINDA MAFANIKIO YA VYAMA VYA UKOMBOZI BAADA YA UHURU, VINAENDANA NA HAJA YA VYAMA HIVYO KUBAKI MADARAKANI
African National Congress (ANC) itakuwa mwenyeji wa Kongamano la Kilele cha Vyama vya Ukombozi 2025 katika Hoteli ya Radison Blu, Kempton Park kuanzia leo tarehe 25 hadi 28 Julai 2025 chini ya mada: "Kulinda Mafanikio ya Ukombozi, Kuendeleza Maendeleo Jumuishi ya Kijamii na Kiuchumi, Kuimarisha Mshikamano wa Afrika."
Mkutano huu muhimu unathibitisha misingi ya kiitikadi ya vyama sita vya ukombozi Kusini mwa Afrika - ANC, MPLA, SWAPO, FRELIMO, ZANU-PF na CCM - na...