Somo la Civics linalofundisha wanafunzi katiba ya nchi linafutwa

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
1,805
Reaction score
1,876
Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.

Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.

Jadili.
 
Linafutwa halafu mada zake zinapelekwa wapi au linabadilishwa jina?
 
Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.

Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.

Jadili.
Hili ndo linachangia kuleta viongozi wabadhilifu
 
Hii nchi inachezea elimu kama mdoli aisee. Mwaka 2016 walibadili mtaala kwa shule za waka separate baadhi ya masomo wakaondoa na kuongeza baadhi ya vitu. Wakasema elimu ya msingi iishie darasa la 6 cha ajabu wale wanafunzi wa mtaaa mpya walivyofika darasa la sita serikali ikaona kabisa haiwezi ku accommodate intake mbili ziende sekondari kwa pamoja. Wakalazimika kuongeza content zingine za darasa la saba ambazo hazikuwepo hapo kabla. Yani waka update syllabus.

Amekuja waziri mwingine wa elimu anataka afumue mfumo aweke wa kwake. Huu ujinga tutauacha lini?
 
Linafutwa lakini maudhui yake yatakuwa katika somo la Historia ya Tanzania na maadili.

Hata hivyo bado haijawa rasimi inaweza kupingwa na wadau wa elimu, tusubiri
 
Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.

Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.

Jadili.
Labda wameona linawafungua uelewa watu wanawasumbua watawala
 
Nchi Ina watu mambumbumbu

Wizara ya Elimu ifutwe tu. Haina lolote. Ina watu hawana la kufanya pale
 
Huku tunapoelekea sijui kama tutafika kwa kweli kama haya ndiyo maoni ya wenye dhamana
 
Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.

Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.

Jadili.
Hili domomndio linaloleta maendeleo nyuma lifutwe kwa maji ya petroli kabisaa!
 
Nasikia ni Maoni tu.. lkn inatakiwa atafutwe alietoa wazO Hilo achunguzwe uraia wake. Au uhalali wake na hatima ya taifa.

Nasikia majasusi wa nchi flan wamejaa tz labda ndio wapo mawizarani huko
 
Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.

Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.

Jadili.
CCM haitaki raia wajue haki zao za msingi, Civics inafundisha haki za binadamu, za kirai na za kikatiba. CCM haitaki watu werevu, inataka mijitu mijinga.

Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe,
1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani?
2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano?
3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
 
Back
Top Bottom