SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Linafutwa halafu mada zake zinapelekwa wapi au linabadilishwa jina?Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.
Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.
Jadili.
Hili ndo linachangia kuleta viongozi wabadhilifuSerikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.
Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.
Jadili.
Labda wameona linawafungua uelewa watu wanawasumbua watawalaSerikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.
Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.
Jadili.
Hili domomndio linaloleta maendeleo nyuma lifutwe kwa maji ya petroli kabisaa!Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.
Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.
Jadili.
CCM haitaki raia wajue haki zao za msingi, Civics inafundisha haki za binadamu, za kirai na za kikatiba. CCM haitaki watu werevu, inataka mijitu mijinga.Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.
Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa.
Jadili.