Ni upuuzi mtupu.Wanakufundisha UJAMAA,ila viongozi ni MABEPARI.
Tatizo la somo ni lipi?Napendekeza hivyo, kwani sioni ulazima wa kuendelea kufundisha kozi ambazo serikali inaona zinagusa maslahi yake na kuwafanya wahadhiri waonekane kama vikaragosi.
Kwa mara nyingine tena, serikali imeanza kuingilia sehemu nyeti kabisa ya fikra za Watanganyika wake na inaonekana kutaka kufinyanga kizazi kisicho na uhuru wa kufikiri, kana kwamba ni roboti, kwa maslahi ya watu wachache wasiokuwa na akili wala maarifa, bali wanaoongozwa na roho mbaya, ukatili, tamaa na maslahi binafsi.
Mwachieni mhadhiri aendelee na maisha yake kwa amani. Kama mnaona somo hilo linawakera, lifuteni
Hakika.Tatizo la somo ni lipi?
Shida sio kufundisha politics. Ukisema somo lifutwe kwa sababu limegusia watawala kuna masomo mengi yatafutwa.
Masomo pia ya uchumi, uongozi, biashara, sheria nk bado pia yatagusia utawala. Utaogopa kufundisha au kuyafuta ili tusigusie utawala.
Cha msingi kila kitu kisimame kwenye nafasi yake. Kuwe na misingi ya weledi zaidi katika uendeshaji wa taasisi zetu, mpaka kwenye shughuli za kisiasa na utawala.
Watu wamepuuza sana suala la weledi, na ndio maana tutaendelea kulia mpaka tutakapokubali kusimama kwenye misingi. Tunaweza kupuuza uhalisia ila hatuwezi kupuuza matokeo ya kupuuza uhalisia.
Kama alichoongea alikuwa sahihi na amepelekwa sehemu sahihi ambayo ni mahakamani, obviously atashinda au sio? Sasa hofu ya nini?Napendekeza hivyo, kwani sioni ulazima wa kuendelea kufundisha kozi ambazo serikali inaona zinagusa maslahi yake na kuwafanya wahadhiri waonekane kama vikaragosi.
Kwa mara nyingine tena, serikali imeanza kuingilia sehemu nyeti kabisa ya fikra za Watanganyika wake na inaonekana kutaka kufinyanga kizazi kisicho na uhuru wa kufikiri, kana kwamba ni roboti, kwa maslahi ya watu wachache wasiokuwa na akili wala maarifa, bali wanaoongozwa na roho mbaya, ukatili, tamaa na maslahi binafsi.
Mwachieni mhadhiri aendelee na maisha yake kwa amani. Kama mnaona somo hilo linawakera, lifuteni
ChawaKama alichoongea alikuwa sahihi na amepelekwa sehemu sahihi ambayo ni mahakamani, obviously atashinda au sio? Sasa hofu ya nini?
Ni futuhiHii nchi inachekesha kama sio yako!
NyumbuChawa
Naomba nikupe siriKama alichoongea alikuwa sahihi na amepelekwa sehemu sahihi ambayo ni mahakamani, obviously atashinda au sio? Sasa hofu ya nini?
Sahihi kabisa, Maana kama tumefika huko,tufute Hilo somo!Napendekeza hivyo, kwani sioni ulazima wa kuendelea kufundisha kozi ambazo serikali inaona zinagusa maslahi yake na kuwafanya wahadhiri waonekane kama vikaragosi.
Kwa mara nyingine tena, serikali imeanza kuingilia sehemu nyeti kabisa ya fikra za Watanganyika wake na inaonekana kutaka kufinyanga kizazi kisicho na uhuru wa kufikiri, kana kwamba ni roboti, kwa maslahi ya watu wachache wasiokuwa na akili wala maarifa, bali wanaoongozwa na roho mbaya, ukatili, tamaa na maslahi binafsi.
Mwachieni mhadhiri aendelee na maisha yake kwa amani. Kama mnaona somo hilo linawakera, lifuteni
Sawa. Unachotaka kuniambia ni kuwa Viongozi wote wa CCM na Serikali yake wameupata uongozi kwa uwezo wao na sio kwa uchawa wao! Nimekusoma!Naomba nikupe siri
Hakuna mtu atakupa cheo kikubwa kisa wewe ni chawa wa kiongozi shtuka
Masaburi yakoNyumbu
Ndio gaidi Sasa?Kuna kufundisha somo tutofautishe na kuhamasisha watu wachome majengo ya serikali pamoja na makazi ya polisi, hakuna somo kama hilo....! MHADHIRI hajakamatwa kwa kufundisha somo, bali wale walio naye kwenye magroup ya whatsapp wanajua zaidi alivyokuwa anachochea....!
AiseeNapendekeza hivyo, kwani sioni ulazima wa kuendelea kufundisha kozi ambazo serikali inaona zinagusa maslahi yake na kuwafanya wahadhiri waonekane kama vikaragosi.
Kwa mara nyingine tena, serikali imeanza kuingilia sehemu nyeti kabisa ya fikra za Watanganyika wake na inaonekana kutaka kufinyanga kizazi kisicho na uhuru wa kufikiri, kana kwamba ni roboti, kwa maslahi ya watu wachache wasiokuwa na akili wala maarifa, bali wanaoongozwa na roho mbaya, ukatili, tamaa na maslahi binafsi.
Mwachieni mhadhiri aendelee na maisha yake kwa amani. Kama mnaona somo hilo linawakera, lifuteni
Chini ya uongozi huu wa hovyo wa CCM hakuna taasisi, idara au mtu mmoja mmoja aliyesalama.Tatizo la somo ni lipi?
Shida sio kufundisha politics. Ukisema somo lifutwe kwa sababu limegusia watawala kuna masomo mengi yatafutwa.
Masomo pia ya uchumi, uongozi, biashara, sheria nk bado pia yatagusia utawala. Utaogopa kufundisha au kuyafuta ili tusigusie utawala.
Cha msingi kila kitu kisimame kwenye nafasi yake. Kuwe na misingi ya weledi zaidi katika uendeshaji wa taasisi zetu, mpaka kwenye shughuli za kisiasa na utawala.
Watu wamepuuza sana suala la weledi, na ndio maana tutaendelea kulia mpaka tutakapokubali kusimama kwenye misingi. Tunaweza kupuuza uhalisia ila hatuwezi kupuuza matokeo ya kupuuza uhalisia.
Yote yafutwe tujifunze kuhusu CCM na viongozi wake.Tatizo la somo ni lipi?
Shida sio kufundisha politics. Ukisema somo lifutwe kwa sababu limegusia watawala kuna masomo mengi yatafutwa.
Masomo pia ya uchumi, uongozi, biashara, sheria nk bado pia yatagusia utawala. Utaogopa kufundisha au kuyafuta ili tusigusie utawala.
Cha msingi kila kitu kisimame kwenye nafasi yake. Kuwe na misingi ya weledi zaidi katika uendeshaji wa taasisi zetu, mpaka kwenye shughuli za kisiasa na utawala.
Watu wamepuuza sana suala la weledi, na ndio maana tutaendelea kulia mpaka tutakapokubali kusimama kwenye misingi. Tunaweza kupuuza uhalisia ila hatuwezi kupuuza matokeo ya kupuuza uhalisia.
Wamezilenga familia za akina luka basi mwosha mbwaKwa mara nyingine tena, serikali imeanza kuingilia sehemu nyeti kabisa ya fikra za Watanganyika wake na inaonekana kutaka kufinyanga kizazi kisicho na uhuru wa kufikiri, kana kwamba ni roboti, kwa maslahi ya watu wachache wasiokuwa na akili wala maarifa, bali wanaoongozwa na roho mbaya, ukatili, tamaa na maslahi binafsi.