Somo la Government Politics in Tanzania (PO 123) lifutwe

Somo la Government Politics in Tanzania (PO 123) lifutwe

Kuna kufundisha somo tutofautishe na kuhamasisha watu wachome majengo ya serikali pamoja na makazi ya polisi, hakuna somo kama hilo....! MHADHIRI hajakamatwa kwa kufundisha somo, bali wale walio naye kwenye magroup ya whatsapp wanajua zaidi alivyokuwa anachochea....!
Chawa 🚮
 
Watu gani ,wapi na akina nani?Na ilikuwa wapi?
Acha kujitoa ufahamu mkuu,alikutwa na Nini?we Kila kituvutasema ni ugaidi basi hata serikali basi ni ya kigaidi, pole pole,Mdude,Saanane,Azory Gwandi,HAya huyu Mwaipopo Mbona hajakamatwa kama swala ni ugaidi,acha kushusha Akili Yako.
 
Kuna historia ya Tanzania na maadili akipatikana mwl mzuri ni shida sana ,
 
Wanafunzi wanaomtegemea kuwafundisha,wasubiri Hadi ashunde, Wewe nae Kichwa maji!
Hicho chuo anachofundisha, hiyo school/college aliyopo, hiyo faculty aliyokuwa placed na hiyo department anakofundisha kama walikuwa na Mhadhiri mmoja tu wa kozi yake, basi tatizo sio lake huyo Mhadhiri!
 
Kwani masomo yanatofauti?Nae akifundisha Hivyo nae Gaidi?
 
Lifutwe kabisa sababu lecture hawezi kufundisha bila kutoa mfano. Hata kama kuna topic km hiyo kwenye DS pia itolewe mxiiiuuuu.
 
Yote yafutwe tujifunze kuhusu CCM na viongozi wake.
Mambo mengi Tanzania yanatakiwa yafutwe ili tubaki na Amani

Mfano
1. Serikali ifutwe tubaki na Jeshi la mtu mmoja au Mfalme, hakuna haja ya kukaa na matatizo kibao ambayo hayana michango.
2. Makanisa na misikiti ifutwe tuwe wapagani Tu, Maana maasi yanaanza na kujificha humo.
 
Una uhakika hiyo kozi ina Mhadhiri mmoja tu? Kama ni hivyo, akifa kozi inafutwa? Ahahahahaha!!!
Swala sio mmoja Gaidi sio Gaidi,na ikiwa sio Gaidi ,hawajavunja morali ya kufundishwa?Analipwa fidia,inakera,acha kutetea uonevu,fikiria kama ingekuwa wewe!
 
Swala sio mmoja Gaidi sio Gaidi,na ikiwa sio Gaidi ,hawajavunja morali ya kufundishwa?Analipwa fidia,inakera,acha kutetea uonevu,fikiria kama ingekuwa wewe!
Kwani mawazo yake aliyatoa akiwa anatoa mhadhara darasani?
Mwaka 2011 jamaa yetu mmoja wa SAUT EDUCHE 2006/2009 alibaki SAUT kama Mhadhiri wa kozi moja ya History. Akiwa anamwaga "lecture" Ukumbi wa M9 akalichana sana Kanisa Katoliki! Enzi hizo VC ni Father Dk. Kitima! Ahahahahaha!!
Alipotoka tu kwenye "lecture", akawa "TERMINATED"! Sasa hivi ni Mkuu wa Shule moja ya Serikali huko Missungwi! Ahahahahaha!!!
Je, huyu unamsemaje?
 
Back
Top Bottom