Kwani mawazo yake aliyatoa akiwa anatoa mhadhara darasani?
Mwaka 2011 jamaa yetu mmoja wa SAUT EDUCHE 2006/2009 alibaki SAUT kama Mhadhiri wa kozi moja ya History. Akiwa anamwaga "lecture" Ukumbi wa M9 akalichana sana Kanisa Katoliki! Enzi hizo VC ni Father Dk. Kitima! Ahahahahaha!!
Alipotoka tu kwenye "lecture", akawa "TERMINATED"! Sasa hivi ni Mkuu wa Shule moja ya Serikali huko Missungwi! Ahahahahaha!!!
Je, huyu unamsemaje?