PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Tundu Lissu mdomo wake ndio adui yake ulimi wake umemponza kwa kuongea vitu vyenye kuhatarisha amani na uwepo wa JMT.TWISEHENI YA HAKI NA AMANI.
Hapa Mungu ametupitisha sote katika kujifunza Umuhimu wa Haki katika jamii.Taifa stars wamenyimwa Haki ili kulinda Amani na Utulivu wa Wamoroco.
Nimefurahi somo hili gumu lakini limekuja kwa wakati sahihi . Nimeona hata wale wanao himiza Amani katika hili wanadai refa alitakiwa kwenda kwenye VAR ili haki ionekane imetendeka.
HAKI ndiyo Msingi wa Amani...ule uchungu ambao watanzania wamepitia kwenye mchezo huu ndiyo uchungu ambao akina TUNDU LISSU wanapitia kilasiku, tujifunze kutenda Haki hata wale viongozi wa dini wanaolilia Amani wamepata somo kuwa Haki ndiyo msingi wa amaniView attachment 3525518
Kwa hiyo auliwe au tumfanyeje Tundu lisu? Kati ya Tundu lisu na yule aliyemfunga na baadae kuleta majeshi yaliyouwa maelfu ya binadamu hapo tarehe 29 nani anachafua amani?Tundu Lissu mdomo wake ndio adui yake ulimi wake umemponza kwa kuongea vitu vyenye kuhatarisha amani na uwepo wa JMT.
Mnaandika mada za kumtafutia huruma lakini kiongozi mmoja mjeuri sana anayedhani anao ufahamu kuliko kila mtu anayesimama pembeni yake.
Kwa hiyo auliwe au tumfanyeje Tundu lisu? Kati ya Tundu lisu na yule aliyemfunga na baadae kuleta majeshi yaliyouwa maelfu ya binadamu hapo tarehe 29 nani anachafua amani
hapa ndipo umekosea! Waloumia si waTanzania bali wanaccm na machawa wote! for your information, watanzania wengi wamefurahi ccm stars alivyopigwa! maana sifa zote angapewa yuleee!"HAKI ndiyo Msingi wa Amani...ule uchungu ambao watanzania wamepitia kwenye mchezo huu"
yo've been added to my ignored list!Tundu Lissu mdomo wake ndio adui yake ulimi wake umemponza kwa kuongea vitu vyenye kuhatarisha amani na uwepo wa JMT.
Mnaandika mada za kumtafutia huruma lakini kiongozi mmoja mjeuri sana anayedhani anao ufahamu kuliko kila mtu anayesimama pembeni yake.
Safi sana , hakuna haja yakuyaacha hayayo've been added to my ignored list!
Aliyeleta majeshi alifanya hivyo kulinda uwepo wa Taifa linaloitwa Tanzania.Kwa hiyo auliwe au tumfanyeje Tundu lisu? Kati ya Tundu lisu na yule aliyemfunga na baadae kuleta majeshi yaliyouwa maelfu ya binadamu hapo tarehe 29 nani anachafua amani?