Sam Richards
Member
- May 3, 2019
- 76
- 155
Kwahiyo wewe na mafuvu mnaendana sioImesaidia wengi sana katika swala la utalii hasa maeneo ya historical sites au makumbusho nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe na mafuvu mnaendana sioImesaidia wengi sana katika swala la utalii hasa maeneo ya historical sites au makumbusho nk
Hakuna vitu vipya ni marudio na recycling wewe ukishangaa ukadhani ni kipya / jipya fahamu kwamba ni historia (past) ambayo wewe huifahamu... Ofcourse kuna vitu ambavyo vinagunduliwa hapa na pale ila theme / mtiririko na cause and effect ni zilezile tu, Ni kama hadithi ina mwanzo, katikati na mwisho...The only what? What does that past history contributed in development of our today's life?
Hakuna vitu vipya ni marudio na recycling wewe ukishangaa ukadhani ni kipya / jipya fahamu kwamba ni historia (past) ambayo wewe huifahamu... Ofcourse kuna vitu ambavyo vinagunduliwa hapa na pale ila theme / mtiririko na cause and effect ni zilezile tu, Ni kama hadithi ina mwanzo, katikati na mwisho...The only what? What does that past history contributed in development of our today's life?
Imesaidia wengi sana katika swala la utalii hasa maeneo ya historical sites au makumbusho nk
Kumbuka kuna wengine wanatajirikia kwenye historia ya imaniKujua tulikuwa Baboons.
Historia Kama ilivyo vifurushi vya uongo vinavyosimulia vitu visivyokuwepo vikisimuliwa na mtu ambae hakuwepo.
Tungejua Historia yetu tusingeletewa Mungu mzungu Wala Mungu Mwarabu kwenye mabrifukesi
Kama yanayotokea Leo mengi yamejaa uongo , Je Historia ni mbaya kiasi gani ?
HIS+STORY.
Binafsi niililichukia mno somo la historia na nilifurahi sana kupata F sekondari somo la Historia .Ile F siijutii kabisaThe only what? What does that past history contributed in development of our today's life?
Tungejua waliyopitia Babu zetu huu uchafu wa kuvishana marozari kulilia Tofali sijui makanzu na sindiga usoni wangetuona wasenke wa kutupa.Kumbuka kuna wengine wanatajirikia kwenye historia ya imani
Aone tu kazi kwake 😹😹🙌🏾Mwl. wako wa history ameona hii?
Hahahaha!Aone tu kazi kwake 😹😹🙌🏾
Ukitumia somo la historia, kama somo la kukupa mbinu za kupambana kimaisha, linaweza kukusaidia.
Ebu fikiria ukoloni ulivyoingia Afrika, kwa kutumwa wajumbe mbalimbali kuja kufanya utafiti na kuangalia namna ya kututawala pamoja na kumiliki mali zetu.
Na wengine kuuzwa kama mifugo ili kwenda kuwafanyia kazi wakoloni. Ile inatafsiri, ulimwengu tuliopo ili ufanikiwe lazime unyonyaji uwepo iwepo. Tajiri anamnyonya masikini ili awe tajiri zaidi.
Kwa elimu ya darasa la saba niliyonayo na mbobezi wa historia ya kina Vasco da gama, natumia historia kwenda huko kijijini ili kuwalaghai waniuzie nafaka, mifugo n.k kwa bei nafuu ili niwaletee mjini niwauzie kwa faida kubwa. Hii kitaalamu cha kihistoria, tunaiita 'exploitation'.
Hii ina maana, ukitumia somo la historia vizuri unaweza ukajiajiri n.k
Je, wewe unatumiaje somo la historia katika harakati zako za maisha?
Hivi unajua miaka ya 1500 Tanganyika ilitawaliwa na wajapaniKusema ukweli ndo Niko hapa nasubir historia ijiandike niliyosoma 😹😹
Uko sahihi ujinga mtupukupitia historia ya fuvu la kale imenisaidia kukaza fuvu.
Najua leo😹Hivi unajua miaka ya 1500 Tanganyika ilitawaliwa na wajapani
😅😅😅 sio kweli ila kwa kuwa kuna historia tumejifunza ila kama kizazi kijacho hakito fundishwa historia basi ni vyepesi kuamini hata ukiwambia kiswahili ni cha kenyaNajua leo😹