Somo la historia ulilosoma miaka ya nyuma, ukiwa shule ya msingi mpaka sekondari na wengine mpaka chuo; limekusaidiaje katika kujikimu kimaisha?

Kukuza uzalendo, kuendeleza pale wazazi walipoacha na matarajio ya mambo mengi yanayoendelea.
 
The only what? What does that past history contributed in development of our today's life?
Hakuna vitu vipya ni marudio na recycling wewe ukishangaa ukadhani ni kipya / jipya fahamu kwamba ni historia (past) ambayo wewe huifahamu... Ofcourse kuna vitu ambavyo vinagunduliwa hapa na pale ila theme / mtiririko na cause and effect ni zilezile tu, Ni kama hadithi ina mwanzo, katikati na mwisho...
 
1. Divide and rule inasaidia sana kutawala waajiriwa wako.
2. Low wages imesaidia sana kuwafanya waajiriwa wawe tegemezi kwa mishahara uchwara hivyo wanaendelea kuchapa kazi
3.
 
Imesaidia wengi sana katika swala la utalii hasa maeneo ya historical sites au makumbusho nk
Achilia mbali katika kuajiriwa, ukiitumia vizuri historia, inaweza kukufanya jamii ikawa inakuzalishia wewe kwa bei nafuu na kukufanya wewe kuwa mtu mwenye mafanikio kibiashara.
Muhimu utumie mbinu zile zile au janja janja zile zile, walizotumia wakoloni.​
 
Kumbuka kuna wengine wanatajirikia kwenye historia ya imani
 
The only what? What does that past history contributed in development of our today's life?
Binafsi niililichukia mno somo la historia na nilifurahi sana kupata F sekondari somo la Historia .Ile F siijutii kabisa

Somo la kijinga sana linamaliza Mb tu kichwani
Kutwa unasoma mambo ya marehemu ooh mara marehemu karl peters,mara marehemu Mangungo ,mara marehemu Mkwawa,mara marehemu Hitler utafikiri uko makaburini unasomewa wasifu wa marehemu toka kaburi hili kwenda lingine

Nafikiri history wanaotakiwa kusoma ni wale wasoma historia za marehemu misibani

Somo la kijinga sana
 
Wengine vitabu vya kihistoria viliwaaminisha kwamba waarabu walitesa mababu zao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hicho ndicho walichokariri, kingine binadamu ametokana na Nyani hahaaaa, kweli walijua kuwaingiza kwenye 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…