Somo la January

Somo la January

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
MAMBO KUMI(10 ) NILIYOJIFUNZA JANUARY

1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa.

2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini.

3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika Kazini.

4. Tafadhali nipigie ni huduma ya msingi

5.Nyama ni mbaya kwa Afya yako.

6. Jiko la mkaa linapika chakula kizuri sanaa.

7. Kumbe ukisaga Mahindi yasiyokobolewa yanatoa unga safii
8.Maji ya kuchemsha ni matamu na mazuri sana zaidi ya Dasani.

9. Waweza kula ugali kama kifungua kinywa( breakfast)

10. Ukioga na sabuni ya Kipande, bado utakuwa msafi. ASANTE JANUARI.
 
hiyo ya tisa ndo yenyewe hiyo, unapata na dagaa lililobaki jana dah! tamu kinoma
 
shida si kubana matumizi "bila mke punyeto inatosha"
 
Yaani nimehisi kama unaniteta mimi kimtindo,maana hayo ndio maisha yangu lakini wewe uliyaishi kizarura ya january.
 
Back
Top Bottom