Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Paka kitunguu saumu mara mbili kwa siku
Kaka..vp nikiwa ninameza angalao punje tatu mara mbili kwa cku bila kutafuna/kusaga?!
 
Kaka..vp nikiwa ninameza angalao punje tatu mara mbili kwa cku bila kutafuna/kusaga?!
Usimeze tafuna na ili kupunguza ukali kikatekate weka kwenye kibakuli weka limao kidogo kisha tafuna baada ya dk 20 hivi
 
Hapo kwenye mambo yetu ya heshma kwenye ndoa hebu zama kidogo,maana mimi nilikuwa nikipata busti kwa spirit alcohol konyagi nk.sasa nimeacha nimekuwa jogoo dk 2 tayari.Hapo kitunguu kinaweza kufanya kazi ya nyagi?Na nikitumie vipi?
 
Hapo kwenye mambo yetu ya heshma kwenye ndoa hebu zama kidogo,maana mimi nilikuwa nikipata busti kwa spirit alcohol konyagi nk.sasa nimeacha nimekuwa jogoo dk 2 tayari.Hapo kitunguu kinaweza kufanya kazi ya nyagi?Na nikitumie vipi?
Kinatanua mishipa ya damu na misuli lakini sio kwa haraka kama liquor
 
Kuna watu baadhi si wachawi wala si washirikina lakini hupenda kutumia mchanganyiko wa Biblia takatifu kitunguu saumu na mafuta ya mzeituni kuwasaidia watu wenye magonjwa ya ajabu yanayohusishwa na nguvu za giza kwahiyo jamani pamoja na kuwa kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi lakini pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata nguvu za giza

[/QUOTE]

Hapa sio sawa huwezi kumlinganisha MUNGU pamoja na vitu alivyoviumba, huu ni upungufu wa Imani na ushirikina. Mungu ni mwenye wivu kwa mtu anayemchanganya ni vitu. Yaani Neno la Mungu liwekwe pamoja na kitunguu swaumu na mafuta halafu vikatibu mtuuu, hiyo sio sahihi Neno la Mungu pekee yake linajitosheleza na halihitaji msaada wa yeyote.
 
[/QUOTE]
Ila katupa tuvitumie na hatukupangiwa tuvitumieje, kibaya ni kuvitumia kwa mambo yasiyofaaa
 
Mkuu ungetuambia jinsi ya kutumia basi utusaidie
 
Reactions: BAK
Ahsante kwa somo mkuu, tatizo LA nguvu za kiume siku hizi limekua kubwa kuliko nguvu za Giza, sasa vinabust mambo yetu?
Inasemekana pia inasaidia unaweza kutumia kila siku punje kumi au nane na vikombe 2 vya maji kila unapotaka kulala
 
Mkuu kwa mtoto kulialia usiku inatumikaje?
 
Safi mkuu hata mimi nimekitumia kwa miezi mitatu mfululizo na BP yangu imeshuka kutoka 145/90 to 126/85
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…