permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kuongozi na mimi naisubiria.IPO ya kienyeji ngoja nikumbuke jina lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuongozi na mimi naisubiria.IPO ya kienyeji ngoja nikumbuke jina lake
Ongeza mafuta halisi ya nazi katika mchanganyiko huu na upake ili kutibu BAWASILI#Chukua asali,kama lita hivi changanya na tangawizi iliyosagwa kama nusu kikombe kidogo,na vitungu swaumu vilivyopondwa, kisha changanya kwa na unga wa black seed pamoja,kila siku ule mchanganyiko wake kwa siku mara tatu kila wakat kijiko kimoja,aisee utakua na uso unaovutia,yaani uso mwororo,matatizo ya moyo,kinga mwilini,kwa marijali ndo usiseme,na pia mchanganyiko huu unaondoa uchawi kama umewahi lishwa kwa kuuozesha
Umekula vingi sana ... Kitunguu saumu kilivyo kilali hukupaswa kula vyote hivyoNimemenya vitunguu swaumu punje 5 nikazikatakata vipande alafu nikameza vyote Kwa pamoja Kwa Maji Ya moto....Yani nimeshinda Vibaya siku mzima mwili umeishiwa nguvu kichwa kimekua Kizito.....shida itakua Ni Nini wakuu
Dose sahihi natakiwa nitumie asubuh punje ngapi mchana Na usiku punje ngapi MkuuUmekula vingi sana ... Kitunguu saumu kilivyo kilali hukupaswa kula vyote hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Punje zile kubwa (vitunguu saumu vya kichina) moja au mbili kulingana na ukubwa ni tosha kabisa mara mbili kwa sikuDose sahihi natakiwa nitumie asubuh punje ngapi mchana Na usiku punje ngapi Mkuu
Hii dawa bwana nna mwaka unaenda wa 7 sijui malaria wanaumwaje eti watu na UTIPunje zile kubwa (vitunguu saumu vya kichina) moja au mbili kulingana na ukubwa ni tosha kabisa mara mbili kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu haina madhara wala gharama kubwaHii dawa bwana nna mwaka unaenda wa 7 sijui malaria wanaumwaje eti watu na UTI
Shukrani MkuuPunje zile kubwa (vitunguu saumu vya kichina) moja au mbili kulingana na ukubwa ni tosha kabisa mara mbili kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hua unatumia vingap Kwa sikuHii dawa bwana nna mwaka unaenda wa 7 sijui malaria wanaumwaje eti watu na UTI
Nimepita Sokoni nimekuta wanauza UNGA wa kitunguu swaum nikanunua anataka nikachange na maji ya moto ninywe kama chai![]()
Kwanza nipende kumshukuru sana Lavan Island yeye ndio chachu ya mada hii...nilikuwa sina ufahamu wa kutosha kuhusu kitunguu saumu japo nilikuwa najua kuwa ni kinga nzuri kwa mtoto anayetaka usiku na kulialia, lakini kumbe kitunguu saumu ni kinga hatari kwa mambo ya kishirikina na viumbe roho wabaya
![]()
Kitunguu saumu kwa jina la kitaalam Allium sativum sio kiboko ya wachawi tu bali pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata wadudu waharibifu.
Hiki kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi kilianza kutumika zamani sana kwenye nchi nyingi duniani
Wamisri waliamini katika majini yanayonyonya damu watoto wakitumia kichane cha vitunguu saumu kuwa kinga watoto wao..sehemu za China Malaysia nk wazazi hutumia kuwapaka watoto kitunguu saumu kwenye paji la uso kama kinga ya nguvu za giza.
Kule Romania wao husaga na kupakaza kwenye milango na madirisha ya nyumba zao , mageti na hata kwenye pembe za ng'ombe wakiamini nguvu ya kitunguu saumu kwenye Kufukuza wachawi na viumbe roho wabaya.
Lakini pia ili kumlinda marehemu aliyekuwa na dalili za kugeuka jini au kuzuia asichukuliwe kishirikina walimlisha/walimwekea vipande kadhaa vya kitunguu saumu mdomoni...na hii pia ni kinga hata ya kuzuia roho yake isiweze kurudi mwilini
Huo ulikuwa ni upande wa giza lakini unapokuja kwenye afya ya kawaida ya mwili kitunguu saumu huongeza kinga mwilini, huku kikipunguza cholesterol kwa kiwango kikubwa mno huku kikisaidia kutanua mishipa ilisinyaa, zaidi hii kitu ni kinga bora sana ya cancer na hata mgonjwa mwenye dalili za cancer . BP kisukari nk nk...ukiweza kabla ya kulala tafuna kipande kimoja cha kitunguu saumu kile kisicho na harufu kali
Maajabu ya kitunguu saumu ni kwamba inakuwaje kitu kidogo namna hii kinakuwa na nguvu ya ajabu hata kuwa kinga kwenye nguvu nyingi za giza? Kimoja kinachosemwa saana ni ile harufu yake . . . majini mashetani na hata wachawi na washirikina wakiwemo wanga wana mzio mkali na harufu ya kitunguu saumu na vitu vichachu..hii ndio sababu pekee iliyoweza kutolewa mpaka sasa.
Lakini pia maajabu mengine ni ile nguvu ya Kufukuza hata wadudu waharibifu majumbani na mashambani kiasi cha kuvutia watengeneza madawa ya wadudu kukitumi.
Kuna watu baadhi si wachawi wala si washirikina lakini hupenda kutumia mchanganyiko wa Biblia takatifu kitunguu saumu na mafuta ya mzeituni kuwasaidia watu wenye magonjwa ya ajabu yanayohusishwa na nguvu za giza kwahiyo jamani pamoja na kuwa kiungo kimacholeta Ladha kwenye vyakula vingi lakini pia ni kinga ya magonjwa mengi na hata nguvu za giza
![]()
Kama umesagwa kienyeji utakuwa na matokeo boraNimepita Sokoni nimekuta wanauza UNGA wa kitunguu swaum nikanunua anataka nikachange na maji ya moto ninywe kama chai
Je nitapata faida sawa n anaayetafuna kitunguu Swaumu
Hakina shida kabisa kwakuwa sio kemikali@[mention]Mshama jr [/mention] hivi kama unatumiA dawa za hospital unaweza kula hicho kitunguu na kisilete madhara
Kuna mzioMshana Jr Nikuulize ndugu yngu..Kuna Bibi mmoja alikuwa Hali mboga yenye vitunguu swaumu yaan ht ukithubutu kuweka Kwa Siri anajua na Hali..
Na linguine Nikaona Mama mkwe wa mdg Wang nae hatak kusikia Kitunguu swaumu na ukiweka Hali..Shida ni nn