Ni kweli mku, Kuna wengine Wana Elimu kubwa lakini hazina msaada wowote kwa jamii. Inataka uwe na Moyo wa kutoa. Watu kama
Mshana Jr Mungu huwapa zaidi kwa njia anazozijua yeye mwenyewe kwakua wana Moyo wa kutoa kwa wengine kile walichojaaliwa. Unaweza usimpe mtu pesa lakini ukampa elimu/ maarifa yakamfaa au kumuokoa, kama sio yeye basi ndugu yake. Kwa mfano elimu anazozitoa humu 'Mshana Jr' zikamuokoa hata yule mtu ambae ilimpasa aende India akatibiwe kama si kutapeliwa pesa zake na makanjanja wa mjini.
Mungu amzidishie zaidi[emoji120]