Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Shukran kaka nimekupata sasa
Yeah kuna mambo unaweza kuyaona kupitia mauzauza ama ndoto hasa ukiwa umelala ambayo kabla hukuwa na uwezo wa kuyaona
Kwa mfano kuona kuna mtu kaingia chumbani, ama kuna mtu anataka kufanya jambo baya mahali nk
 
Kaka Mshana Kuna Uzi Mshana darkday's ni wako Kama ni wako upo jukwaa gani?
 
[emoji120]
 
Hivyo vitu viwili ni catalyst nzuri kwa kukinga, kuzuia na kufubaza nguvu za giza
Kuhusu hii kukinga na kufubaza nguvu za giza ,nilishawahi kuona uzi wako mmoja ukaelezea kuwa chumvi ya mawe is best , so nilikuwa naomba kujulishwa which is best chumvi au kitunguu ?
 
Kuhusu hii kukinga na kufubaza nguvu za giza ,nilishawahi kuona uzi wako mmoja ukaelezea kuwa chumvi ya mawe is best , so nilikuwa naomba kujulishwa which is best chumvi au kitunguu ?
Kila kimoja hapo ni the best katika utendaji wake
 
Nmewahi kutumia kitunguu swaum kama tiba ya typhoid, na kikaniponyesha
5c265279350874ed4d528de1d26bbc17.jpg

Hii kitu ni faida tupu haina gharama kivile, haina masharti lakini nguvu yake ni kubwa mno.

274122c2439a06d6e95d4d637f09e0b2.jpg
 
Kitunguu saumu
1. Ni Mambo gan ya Giza kinaweza kutatua
2. kinatumika vp na vp ili tiba ya Giza iwe kamili
3. Nini kiongezeke kukamilisha tiba ya uhakika na kitumike vp
Hapana chenyewe kinajitosheleza huhitaji kufanya colabo sana sana ni mafuta ya,mzeituni
 
Back
Top Bottom